Wateja wa aina gani ndio issue. Sijui kiasi gani hali imebadilika lakini Kwa muda mrefu tigo imekuwa ikiitwa mtandao wa wanafunzi, kwa ujumla cheap and cheerful. Na ndio soko letu lilivyo kwa kiasi kulani hawatofautiani sana. Sio soko linaloelewa na kuthamini data protection kivile.But still bado ni brand kubwa.. maana ndo namba mbili baada ya Vodacom kwenye market share..meaning bado ana ushawishi na brand yake ni kubwa