Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kisa kukubali kutumiwa na watawalaKampuni ya tigo imejitia doa sana ambapo itawachukua muda mrefu sana kurudisha imani kwa wateja zao ambayo wameipoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa kukubali kutumiwa na watawalaKampuni ya tigo imejitia doa sana ambapo itawachukua muda mrefu sana kurudisha imani kwa wateja zao ambayo wameipoteza
Kafanya nini huyuFikiria tu, kampuni inatumia mabilioni ye fedha kila mwaka ili itengeneze brand yake kwa wananchi. Lengo ikiwa ni wananchi waiamini na waipende ili waendelee kutumia huduma zake ili kampuni iendelee nayo kutengeneza pesa na faida.
Ghafla, anatokea mtu tu ndani ya kampuni, kwa kushindwa kwake kuelewa the value of brand, anajikuta anatia doa na kuharibu kabisa image ya kampuni, ki urahisi rahisi tu ndani ya masaa machache.. just like that!!
Anashindwa tu kutumia akili yake kujibu maswali diplomatically ili kulinda image na brand ya kampuni, kitu ambacho kingewezekana kabisa kufanyika.
Mtu huyu huyu anaamka kesho anaenda kazini kula kiyoyozi kwa mwajiri aliyemchafua??
Technically, ame destroy billions of value just kwa maneno yake. Watu wa branding mtanielewa. Haileti picha nzuri.
Napenda sana binadamu wenzangu, najua ana familia.. ila mi sio muumini wa "uzembe"..
Sitashangazwa mtu kama huyu asipokuwepo kazini tena.
Corporate world nnayoifahamu mimi, haitamuacha huyu mtu.
Akatafute tu ugali pengine.
Over
Ni shahidi kwenye kesi ya Mbowe ni mwanasheria wa Tigo.. ametoa ushahidi ambao umemchafua mwajiri wake .....Kafanya nini huyu
Kama ni kesi ya Mbowe hawezi kufukuzwa kazi sababu ni kesi nyeti ya ugaidi dhidi ya TaifaNi shahidi kwenye kesi ya Mbowe ni mwanasheria wa Tigo.. ametoa ushahidi ambao umemchafua mwajiri wake .....
Kapata baraka za mwajiri. Hivi ile ishu ya kususia mtandao wa voda iliishia wapi wanachadema? Maana naona hadi kwenye michango ya chama huwa mnatumia MPESA.Ni shahidi kwenye kesi ya Mbowe ni mwanasheria wa Tigo.. ametoa ushahidi ambao umemchafua mwajiri wake .....
Fikiria tu, kampuni inatumia mabilioni ye fedha kila mwaka ili itengeneze brand yake kwa wananchi. Lengo ikiwa ni wananchi waiamini na waipende ili waendelee kutumia huduma zake ili kampuni iendelee nayo kutengeneza pesa na faida.
Ghafla, anatokea mtu tu ndani ya kampuni, kwa kushindwa kwake kuelewa the value of brand, anajikuta anatia doa na kuharibu kabisa image ya kampuni, ki urahisi rahisi tu ndani ya masaa machache.. just like that!!
Anashindwa tu kutumia akili yake kujibu maswali diplomatically ili kulinda image na brand ya kampuni, kitu ambacho kingewezekana kabisa kufanyika.
Mtu huyu huyu anaamka kesho anaenda kazini kula kiyoyozi kwa mwajiri aliyemchafua??
Technically, ame destroy billions of value just kwa maneno yake. Watu wa branding mtanielewa. Haileti picha nzuri.
Napenda sana binadamu wenzangu, najua ana familia.. ila mi sio muumini wa "uzembe"..
Sitashangazwa mtu kama huyu asipokuwepo kazini tena.
Corporate world nnayoifahamu mimi, haitamuacha huyu mtu.
Akatafute tu ugali pengine.
Over
Nimeshatoa line ya tigo na kuitupa.Ngoja tuone tigo watavyojitetea kwa ujuha huo
Check ushahidi kesi ya Mbowe.. leoAisee wengne ndio tunaingia duniani sasa hv, kunani?
Tutaona kesho mkuu.. ila naamini nlichokiandika.. Corporate world sio ya kuchezea mkuu..Yule ni special case, hawezi kufukuzwa.
Atakula alipopeleka mboga,Fikiria tu, kampuni inatumia mabilioni ye fedha kila mwaka ili itengeneze brand yake kwa wananchi. Lengo ikiwa ni wananchi waiamini na waipende ili waendelee kutumia huduma zake ili kampuni iendelee nayo kutengeneza pesa na faida.
Ghafla, anatokea mtu tu ndani ya kampuni, kwa kushindwa kwake kuelewa the value of brand, anajikuta anatia doa na kuharibu kabisa image ya kampuni, ki urahisi rahisi tu ndani ya masaa machache.. just like that!!
Anashindwa tu kutumia akili yake kujibu maswali diplomatically ili kulinda image na brand ya kampuni, kitu ambacho kingewezekana kabisa kufanyika.
Mtu huyu huyu anaamka kesho anaenda kazini kula kiyoyozi kwa mwajiri aliyemchafua??
Technically, ame destroy billions of value just kwa maneno yake. Watu wa branding mtanielewa. Haileti picha nzuri.
Napenda sana binadamu wenzangu, najua ana familia.. ila mi sio muumini wa "uzembe"..
Sitashangazwa mtu kama huyu asipokuwepo kazini tena.
Corporate world nnayoifahamu mimi, haitamuacha huyu mtu.
Akatafute tu ugali pengine.
Over
Asifukuzwe mana tunasepa wenyewe kwanza bando gharamaYule ni special case, hawezi kufukuzwa.
Ngoja tuone kama atapona.. ingekuwa management inajua wangetumia diplomasia kama nilivosema..Kapata baraka za mwajiri. Hivi ile ishu ya kususia mtandao wa voda iliishia wapi wanachadema? Maana naona hadi kwenye michango ya chama huwa mnatumia MPESA.
Kesho ikiisha salama akatoe sadaka..Atakula alipopeleka mboga,