Wakili wa Tundu Lissu amwaga cheche kwa walivyojipanga dhidi ya mteja wao

Wakili wa Tundu Lissu amwaga cheche kwa walivyojipanga dhidi ya mteja wao

Major cases
Some of Amsterdam's most well known cases were related to early work in Africa and Latin America (well before his later Russia-related issues). Amsterdam won a major international litigation on behalf of the Four Seasons Hotel and Resort Group in Venezuela, and he also worked the well known Gutierrez case in Guatemala, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes.[5][6] Amsterdam would go on to represent famous political prisoners such as Eligio Cedeño in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el-Rufai, and leading democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.[7][8]
Jamaa anashinda kesi mpaka kwa Putina na venezuela kwenye udikiteta ulioiva hapa kwa wanauchwara ndio kama maji kunawa
 
Mimi ndio nilianza kupata wasiwasi juu ya utimamu wa huyu ndugu yetu kutoka ubeligiji

Anasema hatakusanya kodi hapo hapo anasema ataongeza mshahara

Kitu kingine alisema madini yote atawapatia Wazungu ili kudumisha Urafiki
Colonial mentality CCM
 
Hayo Ndio matokeo ya kuziba njia zote za upataji wa haki ndani nchi.

Hapo kama nchi tunaenda kuwekwa uchi kwa mambo kibao ambayo tumekuwa tunayaficha ficha likiwemo la kuikalia Zanzibar kimabavu.

Kila kitu nitakuwa wazi, damu za Akina Saanane, Azory na wengine tunaomba siziwe zimemwagika bure ulimwengu uelewe kile kinachoendelea.
 
Huyu jamaa wateja wake wote ni controversial figures.

Kifupi ni kuwa anaingia mahali akiwa na malengo ya kujinufaisha.

Ukimpigia kura lisu ni kumpa Amsterdam Nguvu za kumiliki uchumi wetu.
Potelea pwete
 
Amesema yeye hatakuwa anakusanya kodi je ataendeshaje Nchi ?

Au anataka atuuze anakotoka ubeligiji ?
Mhuni huyu.... hata chief mangungo alikua smart kumzidi
Anawafukuza wanahabari wa Tanzania halafu anajitangaza kwenye media za ulaya.
Si aende huko wakampe urais
 
Mhuni huyu.... hata chief mangungo alikua smart kumzidi
Anawafukuza wanahabari wa Tanzania halafu anajitangaza kwenye media za ulaya.
Si aende huko wakampe urais
Mimi ndio nilianza kupata wasiwasi juu ya utimamu wa huyu ndugu yetu kutoka ubeligiji

Anasema hatakusanya kodi hapo hapo anasema ataongeza mshahara

Kitu kingine alisema madini yote atawapatia Wazungu ili kudumisha Urafiki
Huyu jamaa wateja wake wote ni controversial figures.

Kifupi ni kuwa anaingia mahali akiwa na malengo ya kujinufaisha.

Ukimpigia kura lisu ni kumpa Amsterdam Nguvu za kumiliki uchumi wetu.
[emoji28][emoji28][emoji28]hatakusanyi kodi wala hatakopa, na ana mpango wa kuongeza mishahara mara dufu kwa watumishi[emoji20][emoji20].

kuna wanasiasa wana dharau sana wapiga kura sure bro nakwambia.hili ni tusi lililofungwa kwenye box.
Inaonesha jinsi gani lissu anatumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi. Tunatakiwa kumkataa.
Amesema yeye hatakuwa anakusanya kodi je ataendeshaje Nchi ?

Au anataka atuuze anakotoka ubeligiji ?
Tulieni dawa iwaingie
JamiiForums-1683321171.jpg
 
Wakili wa Lisu shoga janaume Zima llina wakili shoga Halafu sikia Hilo li shoga Amsterdam linasema hapo kwenye mahojiano eti kila siku Mara nyingi lazima wa tweet na Lisu
Narejea kuwa kumbusha wore waliomshauri m.kiti vibaya wanatafutwa.
 
Ile tu kwamba unashabikiwa na kutetewa na vibebru kama hicho ki Amsterdam, tayari hufai kuwa kiongozi wa ngazi yeyote hata ya nyumba kumi popote barani Afrika.
 
Ile tu kwamba unashabikiwa na kutetewa na vibebru kama hicho ki Amsterdam, tayari hufai kuwa kiongozi wa ngazi yeyote hata ya nyumba kumi popote barani Afrika.
Wakereketwa na wafurukutwa nao ni wapiga kura
 
Wakili wa Lisu shoga janaume Zima llina wakili shoga Halafu sikia Hilo li shoga Amsterdam linasema hapo kwenye mahojiano eti kila siku Mara nyingi lazima wa tweet na Lisu
Ile tu kwamba unashabikiwa na kutetewa na vibebru kama hicho ki Amsterdam, tayari hufai kuwa kiongozi wa ngazi yeyote hata ya nyumba kumi popote barani Afrika.
Ombeni sana Mungu watanzania wawape kura nyingi ccm za halali ila kama ni za ubabaishaji mjiandae kumkabidhi Lissu Ikulu.
 
Back
Top Bottom