Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Tatizo ni kwamba ..hata hapa tz tunaona JPM alivyo kataa kwenda kwa mabeberu ila viongozi wakiwa wafuasi wa mudi wanasujudia sana mabeberu na watu weupe kama miungu tazama SA100 ...NDIYO MAANA MIMI NASEMAGA SIKU ZOTE SASA HIVI TZ HAKUNA WAISLAMU NALI KUNA WAISIHARAMU TU....hadi imefikia mabeberu kusema " bora tanzania iongozwe na wafuasi wa mudi " siku zote kuliko wakristo
Nadharia zako siyo.
 
Tatizo ni kwamba ..hata hapa tz tunaona JPM alivyo kataa kwenda kwa mabeberu ila viongozi wakiwa wafuasi wa mudi wanasujudia sana mabeberu na watu weupe kama miungu tazama SA100 ...NDIYO MAANA MIMI NASEMAGA SIKU ZOTE, SASA HIVI TZ HAKUNA WAISLAMU BALI KUNA WAISIHARAMU TU....hadi imefikia mabeberu kusema " bora tanzania iongozwe na wafuasi wa mudi " siku zote kuliko wakristo
Lakini hakuzikataa pesa zao
 
Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na aKili hizi nchi za KiAfrica za kujua thamani ya mifumo Bora ya uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .
Ni hadi tufikie level ya maturity kama wenzetu ndipo tutakuwa na mifumo bora.
Na sio hii ya mtumishi wa umma kuiba kodi zetu kwenda kununulia mabus binafsi,ambayo nayo utumishi ukikoma na mabus yanapaki juu ya mawe
 
Wakati mwingine ilikuwa ni sahihi zaidi kama wakoloni wangeendelea kuwepo hadi watakapotufikisha level ya maturity ndipo tuweze jiongoza.
Mwafrika aliishi maisha bora zaidi kabla ya UHURU.
Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi zaidi kuliko maslai ya waafrika wote. Case study.
 
Kwanini wasingeshtakiwa kwa mujibu wa sheria? Mbona hapa Tanzania wahamiaji hawauawi?
Nani kakwambia wameuawa wewe mbuzi ? , Kuvuka jangwa la Sahara kifo ni nje nje ,robo ya wanaovuka jangwa la Sahara wanafia humo humo jangwani , Kwanza kuna kupotea , mnaishia chakula na maji + exhaustion +intense heat
 
Waafrika wengi hawana akili. Wao ndiyo huwapa sababu mtu mweupe atuite nyani na atufanyie mambo kama hayo.
Africa is waste.
Hakuna anayemjali mwafrika popote.

Kuna mtu alisema baada ya miaka 25 kuna hatari Africa ikatawaliwa tena. Na hii inawezekana kabisaa. Wakati wengi wa mababu zetu walikataa kuuzwa utumwani au kuishi na mzungu leo tunamkimbilia Mzungu kama suluhisho la ajira, elimu, fedha, maendeleo na kutafuta maisha. Maana yake hata babu zetu wakiamka leo watatushangaa hata tunavyoiga utamaduni wao. Wakati sababu kubwa ya Nandi, Asante, Oba, Chief Songea, Kinjektile, na Kikuyu iilkuwa kupinga utamaduni wao.

Sasa hivi akifa mzungu ndo inaonekana kafa mwafrika si mtu. Hapo hakuna atakayetangaza genocide, mass killngs wala atrocities. Ni kama hakuna kilichotokea.

Halafu atakuja mtu kuleta story za kueaonea huruma Ukraine[emoji45][emoji3525]. Waacheni wauane tena kama vipi hata Nuke zipigwe tuuuu....kama inaisha na iiisheeee turudi mavumbini...kwa sh ngapi?
Wewe naye ni taahira ,Nani kakwambia hao wahamiaji haramu wameuawa na mzungu ? ,Mjinga wewe ?
 
Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.

Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.

Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.

======

Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.

View attachment 2276572View attachment 2276573

View attachment 2276575
Ndio tutajua harujuhi!!mtu mweusi,muislam,Mwarabu,hatakiwi ulaya,kama anaenda kama mkimbizi!!UK wakimbizi wote wanaozamia,wanakamatwa na kupelekwa Rwanda!!!
 
Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.

Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.

Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?

Waafrika wana nini vichwani mwao?

Bado tuna utumwa wa kifikra hatuko huru kusema ukweli tumejaa unafki.

Sijui tutafanya nini ili kubrash mind zetu ndio tutaweza kuona borit lililojichoni mwetu na sio kibanzi ndani ya jicho la race nyingine.

Issue sio kusema RIP ila tutendewe kama sisi tunavyowatendea wahalifu wa jamii zingine kwenye mipaka yetu.
 
Wakati mwingine ilikuwa ni sahihi zaidi kama wakoloni wangeendelea kuwepo hadi watakapotufikisha level ya maturity ndipo tuweze jiongoza.
Mwafrika aliishi maisha bora zaidi kabla ya UHURU.
Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi zaidi kuliko maslai ya waafrika wote. Case study.

Usiseme kwamba tuliishi maisha bora kabla ya Uhuru hapo ni kuwadharau vijana wetu halisi wa Africa waliopambana ili kutuondoa kwenye makucha ya watesi wetu.

Tusiende mbali hayati Juliasi Nyerere kaacha nini kwa bloodline yake?

Tuwape heshima yao wao walijitoa kwenye ukoloni na sisi yatupasa kujiondoa kwenye ukoloni mambo leo ili kuacha kizazi kitakachojipambania kua bora kama mataifa mengine yaliyoendelea.

Tusiwe wepesi wa wakutoa lawama ni wajibu wa kila mtu kujipambania.
 
Uzao wake awalali njaa.
Kabla ya UHURU uhakika wa maisha ulikuwepo.
Elimu bora,afya bora,ajira tele viwandani mashambani au ufanye biashara chaguzi ni wewe tu.Kazi ya mkulima ilikuwa ni kulima sio kutafuta soko kama dada,nchi haikutegemea kodi ndio iende, maendeleo yalikuwepo tena makubwa bila kodi bali uzalishaji tokana na raslimali tele, ufisadi,wizi wa mali ya umma haukuwepo.
Maisha yangekuwa bora waafrika wasingehatarisha maisha yao kukimbilia utumwani , huku maelfu wakikwama mabalozini kulilia kupewa makaratasi.
 
Ndio tutajua harujuhi!!mtu mweusi,muislam,Mwarabu,hatakiwi ulaya,kama anaenda kama mkimbizi!!UK wakimbizi wote wanaozamia,wanakamatwa na kupelekwa Rwanda!!!
Mbona wamejaa huko kama awatakiwi
 
Lakini hakuzikataa pesa zao
Pesa siyo haramu,... Haramu inaweza kuwa mashariti yaliyopo kwenye pesa, ambayo JPM NA NYERERE WALIKUWA AWAKUBALI KITU KAMA ICHO KUMBUKA ALIVYO KATAA MRADI WA BAGAMOYO NA SGR YA KICHINA hadi leo unaona sgr ya umeme ujue ni msimamo wake ...kapambana na mabeberu wakristo usiku na mchana kwenye madini yetu ..
 
Hata Wahindi hawakurudi kwao India ingawa uwezo walikuwa nao bali waliingia UK na Canada na wengine Australia
Opportunities ni nyingi na sheria sio ngumu
Sasa utaenda kwenye sheria kandamizi ya nini

Hata leo wanaopita kwetu wanatamani tuwaambie kaeni msiende popote muishi na sisi
Ila huo uungwana tunao?
Tuna roho mbaya na ubaguzi wa hali ya juu kwa kusingizia usalama
Sijui tuna nini
Tusiwasontee vidole hao kabla ya kujiangalia sisi huwa tukoje likija suala la wakimbizi
Je tunawasaidia? Au tunawafunga na kuwanyang’anya hata senti yao ya mwisho?
Wanapigwa mapicha utafikiri wamekamata majambazi sugu
Huu udhalilishaji kwa ndugu zetu hauuoni

Ulaya wanapokea wakimbizi na kuna nchi nyingi pia zinapewa hela na UN kwa kuwahifadhi wakimbizi na sisi tukiwemo

Ila wakikamatwa polisi yote itahamia huko kupiga picha

Watu wanatafuta maisha popote na wamepitia mengi na bado tunawatesa tena daa
mbaya zaidi weusi wenzetu daaa!! tena huenda ni wajomba zetu make hii mipaka tumewekewa na weupe ajili yao.... kuna ndg zetu huko wanasota damudamu lkn akipita hapa duuuuu unamuoana km kima
 
mbaya zaidi weusi wenzetu daaa!! tena huenda ni wajomba zetu make hii mipaka tumewekewa na weupe ajili yao.... kuna ndg zetu huko wanasota damudamu lkn akipita hapa duuuuu unamuoana km kima

Halafu kuna watu wanakuambia eti kwanini wanakimbilia Ulaya?

Wakati mweusi hampendi mweusi
Watu wamekimbia bunduki na wanapigwa na ndugu zao
Dada zao wamebakwa na wazazi wameuwawa, wazee wameshindwa kuondoka na wamechomewa nyumba zao

Badala ya kuwafariji na kuwapa sehemu nzuri ya kukaa au kuwapeleka camp ndio kwanza
Wanaporwa kila senti walizokuja nazo
Au wengine wwnawekwa kwenye viroba

Kweli dunia Ina mambo hii na wenzetu wazungu wanaficha mpaka sura za Ukrainians waliokufa
 
Daa!! kwa uchungu huu Africa yaani mkuu natamani hata kulia!
 
Daa!! kwa uchungu huu Africa yaani mkuu natamani hata kulia!

Inauma sana kuona mwafrika anambagua mwenzie
Ni wenzetu tena kama ni DNA utakuta tumeingiliana sana ila mtu anaamua kujitoa ufahamu mpaka kuwauwa au kuwanyima haki zao
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiviiii kwa nini waafrica wana kimbilia kwa wazungu tuuu!! na Israel, Australia tuuu!! kwa waarabu wanapapita tu km iviiii!!......wkt ni karibu tu hapo! mfano Misri unaweza enda kwa mtumbwi! kupitia ziwa victoria!!

Oman si! ni jikoni tu hapooo!! lkn wanapapita haooo! Ulaya!!
 
Unatafuta ugomvi wewe na wafia dini ileeee.... [emoji87][emoji2]
 
Back
Top Bottom