Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Waliokufa na kujeruhiwa hawakufa Hispania - walikufa nchini Moroko wakati walipojaribu kuvunja geti kwenye fensi baina ya Moroko na mji wa Kihispania Mellila.
Polisi iliyowapiga na kukataa usaidizi hawakuwa Wahispania, ilikuwa polisi ya nchi ya Kiafrika na Kiislamu, yaani Moroko.

Naona Hispania ina wajibu pia kwa sababu inasukuma Moroko kuzuia majaribio ya kushambulia fensi ya mpakani kwa kila namna,

Morocco blamed the deaths on a ‘stampede’ as around 2,000 migrants surged towards the 12-meter high razor wire topped border fence.

Sanchez insisted the ultimate blame lay with human trafficking rings that ‘are profiting from the suffering of human beings who only want to seek a better life.’

The UN committee said such tragedies could be avoided ‘if a comprehensive rights-based approach had been incorporated in border policies’.

“We urge the Moroccan and the Spanish Governments to conduct prompt, thorough, independent, impartial and transparent investigations into these deaths and to determine the corresponding responsibilities. In addition, measures should be taken to ensure access to justice for victims and their families.

“The authorities should also provide full reparation for the human rights violations, including breaches of the non-refoulement principle by arbitrary pushbacks,” it added.

The calls echo those of human rights organisations in both Spain and Morocco.

Amnesty International has expressed its “deep concern” over the events at the border.

“Although the migrants may have acted violently in their attempt to enter Melilla, when it comes to border control, not everything goes,” said Esteban Beltrán, the director of Amnesty International Spain.

“The human rights of migrants and refugees must be respected and situations like that seen cannot happen again.”

Amnesty International has expressed its “deep concern” over the events at the border.

“Although the migrants may have acted violently in their attempt to enter Melilla, when it comes to border control, not everything goes,” said Esteban Beltrán, the director of Amnesty International Spain.

“The human rights of migrants and refugees must be respected and situations like that seen cannot happen again.”
 
Ndio wakimbizi ni special case lakini unachokimbia kwako ni nini??

Ujue kuna mkimbizi na wahamiaji haramu. Hao wanaozamia huko wengi ni wahamiaji haramu na sio wakimbizi.
Ni sawa tu na mbongo/mkenya akutwe huko halafu auawe uje useme eti hao jamaa wana makosa!!.

Kwanimi basi msifate utaratibu mkaingia kama wakimbizi kweli badala yake mnaingia kinyemela tu.
[emoji848]Au basi nimebadili mawazo, Kill dem all.
 
Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na aKili hizi nchi za KiAfrica za kujua thamani ya mifumo Bora ya uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .
Ni kweli ila wenye madaraka hawawezi kukubali hilo.
 


Graphic Video Shows African Migrants Being 'beaten And Killed In Spain​

 


Graphic Video Shows African Migrants Being 'beaten And Killed In Spain​


Watu hao walipigwa na polisi ya nchi ya Kiafrika na ya Kisilamu, yaani katika Moroko.

Walipojaribu kuvuka fensi iliyowekwa kuzuia watu kuingia Hispania. Ila walipigwa na kufa katika Moroko wakipigwa na polosi ya Moroko.
 
So sad Yan kuna huyo wamwisho kama anataka kufa naona kamalizwa kwakunyagwa,,,anyways hutosikia kiongozi wa Africa akisema Jambo kuhusu tukio hilo,,,sijui lini waAfrica watajua kua wazungu sio ndugu zao inasikitisha sana!bora uombe hifadhi nchi za Africa kuliko huko!
ukiwalaumu tuu wazungu na wao watakuuliza mbona mugabe alipowanyan'anya mashamba wazungu mlikaa kimyaaaa!kuna wakati raisi wa ughaibuni aliwauliza mbona wakati wazungu wa zimbabwe wananyanyaswa na mugabe mlikomaa na ukimya? huo haukuwa ubaguzi?
mugabe akwa anitwa mpiganaji huku akiiteketeza nchi yake! sisi ndo tulivyo
 
Inasikitisha sana...
usisitikite hii ni injlii:njoo kwangu wote mnao elemewa na mizigo, Nira yangu ni raini na mzigo wangu ni mwepesi. wanakufa kila saa baharini kukimbilia nchi zilimtangaza yesu duniani na kuleta ukristo. wakifika ulaya wanakuta sheria za jamii ni nzuri saaanah, hakuna njaa wala shida ya pesa.
 
Ardhi ngum sana hii, Inahitaj angalau Rangi nyingine ikalie kiti, Hii Green/Yellow unafiki sana.
Congo alipokuwa mkoloni hajatoka ilikuwa bingwa wa kulima mtama na mahindi. walikula na kuuza ulaya. kaja mwafrica kutawala kuna njaa na mama ntilie wengi kupita Ghana na Niger. ingawa kuna madini lakini lumba lao ni kali sana!
 
kituko hao ni team Putin hlf wanaeza kupunguza oxygen ya Ulaya , hii vita imetufanya waafrika tuonekane rangi zetu , na waliofanya huo ujinga sio raia bali ni serikali ila hawawez kuweka open
 
Waafrika tuna shida sana HATUPENDANI tunabaguana waziwazi sababu kubwa ni dini. Kwakuwa anayepigwa tunahisi ni Muislam basi ni sawa tu na kwakuwa anayetenda ni mzungu basi tunaona kama yuko upande wetu(Christian) ana haki ya kufanya hivyo. Chuki hizi zinazunguka pande zote kila mmoja anatamani upande mwingine upate madhara ili akejeli TUMEFIKIA PABAYA SANA.
 
Ukweli ni kwamba waafrika tujenge mataifa yetu, viongozi wasioweza kuweka dira nzuri za maendeleo watolewe madarakani. Kila mmoja achape kazi. Kujiliza liza na kutaka kubembelezwa hakuwezi kuwa solution.
Kujenga mataifa yetu ni muhimu lakini kushabikia wenzetu kuuwawa kikatili ni upumbafu na roho mbaya
 
So sad Yan kuna huyo wamwisho kama anataka kufa naona kamalizwa kwakunyagwa,,,anyways hutosikia kiongozi wa Africa akisema Jambo kuhusu tukio hilo,,,sijui lini waAfrica watajua kua wazungu sio ndugu zao inasikitisha sana!bora uombe hifadhi nchi za Africa kuliko huko!
Hao wakimbizi walikufa Moroko, si Hispania. Kama walipigwa na polisi, ilikuwa polisi ya Moroko, nchi ya Kiafrika na Kiislamu.
Walijaribu kuvunja fensi kati ya Moroko na mji wa Mellila (ambao ni eneo la Hispania kwenye mwambao wa Moroko)
 
Ulaya hata wanyama wana haki na wanalindwa sana
Labda vijana wanaokimbilia huko nje someday they will come back kufanya mabadiliko. Tumeona watu wengi waliofanikia kama wachezaji mpira wakirudi nyumbani na kujenga nchi

Ila naomba Mungu Tanzania tusifikie huko mpaka tuanze kukimbia nchi yetu ambayo ndio mali yetu. Babu zetu walimwaga damu zao sio bure. .
Nchi za ovyo Sana hizi , nyingine hazikufaa hata kuitwa nchi , huwa napata hasira kuona hawa wapuuz wanaojiita viongozi wananenepa na kuvimbiwa vitambi huku wananchi wakitopea kwenye extreme poverty and misery .Hivi huwa hawaoni hata aibu wakiwa kwenye mikutano ya kimataifa ?
 
akiuwawa mtanzania hawasemi waafrica wanauwawa hii ndo tabia ya vyombo vya habari vya west africa, Ila hao jamaa zao wakiuwawa huko ulaya wanasema waafrica wengi wauwawa ili na wewe mtanzania uumie kisaikolojia.. wewe achana nao na wakome kuingia ulaya kuiba magari na baiskeli wakauza africa. halafu hao jamaa wakifika USA au Ulaya wote wanatabia ya kusema wanatoka sauth Africa.
achana na haya majamaa ya west africa, hayana utu kabisaa. wengi wao wametoka katika maisha ya kuruka na ungo hii ndo adhabu yao.
Hahaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti kuruka na ungo
 
Afrika ni shida. Ukitaka kujua hakuna waafrika wanachosoma angalia impact ya elimu zao.
Wanasoma ili WAAJIRIWE
Waajiriwe ili WAIBE
Waibe ili WAJIRUNDIKIE MALI
Kila awamu wao ni KUSIFU
Yaani ni ma Prof ma Dr lkn wanajitoa ufahamu mbele ya kiongozi.
Hawana faida kabisa yaani wachomzidi babu yao wa kijijini kuchanganya lugha za kigeni basi.
Afrika imegubikwa na watu WABINAFSI wasiopendana wao kwa wao.
Lakini tujue hakuna mzungu anafanya kwa faida yako

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Na hili ndio tatizo kubwa ubinafsi WA kupumbav Huu ndio unapelekea unequal distribution of the national cake , majitu yakipata nyadhifa ni kufilisi kabisa wengine mfe Tu njaa no body cares
 
Wewe na hao mna tofauti gani? na nini kinakufanya uamini wewe ukienda hapo hautafanyiwa walichofanyiwa hao?

Na wao kuwa waislamu kunawaondolea vipi uafrika wao?

Na nani amekwambia waislamu wana uhusiano wowote na waarabu?
Uislamu ni dini tu au unataka kusema wewe mkristo una uhusiano wowote na wazungu?

Kwamba kwakua wewe ni mkristo basi kiasili kwenu ni Europe na ukienda hawatokubagua sababu wewe ni mkristo haijalishi kama ni mwafrika mweusi?

Hakuna mtu anayejali dini yako na ukilinganisha huko nje mostly ni atheists au ni dini kama jina tu, ila watakubagua sababu wewe ni mweusi, au unaona wale black americans wanaokuwa oppressed na kubaguliwa kule marekani ni waislamu?

Waafrika wenyewe tunachukiana namna hii unafikiri nani kutoka race nyingine atakupenda na kukuthamini wewe.

Huna akili.
Tatizo ni kwamba ..hata hapa tz tunaona JPM alivyo kataa kwenda kwa mabeberu ila viongozi wakiwa wafuasi wa mudi wanasujudia sana mabeberu na watu weupe kama miungu tazama SA100 ...NDIYO MAANA MIMI NASEMAGA SIKU ZOTE, SASA HIVI TZ HAKUNA WAISLAMU BALI KUNA WAISIHARAMU TU....hadi imefikia mabeberu kusema " bora tanzania iongozwe na wafuasi wa mudi " siku zote kuliko wakristo
 
Zamani waafrika walichukuliwa utumwani kwa lazima siku hizi wanajipeleka wenyewe kwa lazima
 
Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.

Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.

Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?

Waafrika wana nini vichwani mwao?
Mimi mwenyewe nimeshangaa yaani watu wanashangilia kabisa waafrica wenzao kuuwawa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom