Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Sehemu ambayo inakufanya ujihisi salama ni nyumbani, ukiona mtu anakimbia nyumbani kweli hakukaliki. Njaa mbaya sana watu wangekuwa wanakula wanashiba hata wasingekimbia. Serikali za Africa hazina huruma kabisa. .
Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na aKili hizi nchi za KiAfrica za kujua thamani ya mifumo Bora ya uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .
 
Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na Kiki hizi nchi za KiAfrica za kujua thank ya mifumo Bora , uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .
Tukiwa wadogo tunasikia wazungu wana uchawi wa maendeleo. Bongo uchawi wa kurudishana nyuma.

Hata akitokea kiongozi mmoja mwenye mwanga kidogo akiingia kwenye system analewa na madaraka. Africa will all die sometime, limekuwa shamba la wanyang'anyi. .
 
Yaani ukiangalia nchi zote kuanzia kwenye pembe ya Africa pale Somalia ,Sudan ,Djibout , Ethiopia , Eritrea uje west yote hiyo , ushuke huku Chini yaani ni majuto watu wanaishi kama mbwa Koko , yaani maisha ya KiAfrica ni Bora uzaliwe mbwa ulaya , kiufupi wengi wanaishi maisha ambayo binadamu hatakiwi kuishi
 
Ulaya hata wanyama wana haki na wanalindwa sana
Labda vijana wanaokimbilia huko nje someday they will come back kufanya mabadiliko. Tumeona watu wengi waliofanikia kama wachezaji mpira wakirudi nyumbani na kujenga nchi

Ila naomba Mungu Tanzania tusifikie huko mpaka tuanze kukimbia nchi yetu ambayo ndio mali yetu. Babu zetu walimwaga damu zao sio bure. .
 
Wengi wa hao ni waswali Ijumaa

What about those who died in trucks
Angalia hao pia waliokufa jana kwenye lorry na wamelipa almost $10,000 each
Na sio Waislam
IMG_7185.jpg
 
Wewe na hao mna tofauti gani? na nini kinakufanya uamini wewe ukienda hapo hautafanyiwa walichofanyiwa hao?
Na wao kuwa waislamu kunawaondolea vipi uafrika wao?

Na nani amekwambia waislamu wana uhusiano wowote na waarabu?
Uislamu ni dini tu au unataka kusema wewe mkristo una uhusiano wowote na wazungu?
Kwamba kwakua wewe ni mkristo basi kiasili kwenu ni Europe na ukienda hawatokubagua sababu wewe ni mkristo haijalishi kama ni mwafrika mweusi?

Hakuna mtu anayejali dini yako na ukilinganisha huko nje mostly ni atheists au ni dini kama jina tu, ila watakubagua sababu wewe ni mweusi, au unaona wale black americans wanaokuwa oppressed na kubaguliwa kule marekani ni waislamu?

Waafrika wenyewe tunachukiana namna hii unafikiri nani kutoka race nyingine atakupenda na kukuthamini wewe.
Huna akili.

Kuna watu unawashangaa walivyo na akili ndogo na ubaguzi wa nyuma ya keyboards
Mbona mitaani hawasemi Haya ya udini na kuichukia dini moja
Yaani ni mtu muoga tu ndio utakuta anaongelea na kukebehi dini ya wenzao au Kabila au mila za mwingine

Hawa ndio wakiwa na shida wanakimbilia kumuomba anaemtukuna
Mexico kutwa wanakatisha border na wapo kutoka nchi nyingi huko kama Columbia, Cuba na nchi kibao wanatafuta njia za kuingia [emoji631]
Jana tu watu 53 wamekutwa wamekufa San Antonio, Texas ndani ya Lorry sasa hao nao wana uhusiano gani na Dini?

Kuna watu humu wamefundishwa chuki against Muslim na wazazi wao tangu wakiwa wadogo Nina uhakika [emoji817] na hata mafunzo ya kanisani pia

Ni wa kuwadharau tu kama wanajiona wao ni better than others
 
Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.

Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.

Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?

Waafrika wana nini vichwani mwao?
west african wabaguzi sana. mwaka 2014 mwanamke wa kitanzania alivuliwa nguo hadharani huko India, vyombo vyote vya habari viliandika mwanamke wa kitanzania kaadhilika india! na sio mwafrica kadhalilishwa india. mwaka 2019 wanigeria wauza Unga walipigwa university ya india kwa kosa la madwa ya kulevya, Vyombo vyote vya habari ikiwemo CCTV africa iliandika waafrica wanyanyaswa India.
asa long as hapo hapakuwepo na mgoni wala mruguru wala mtanzania yeyote, achana na majonzi yao hao watu wa west africa.

halafu vi nchi kama NIger, Benin, Togo na Liberia, wanzaliana sana. mwanaume mmoja huo wake wanne ingawa ni masikini. hivyo kuna dhiki ya ngamahuko west africa. watoto hukimbia shule, huenda nusu uchi mashuleni na shida ni kupata milo mitatu kwa siku. hivyo ndo maana hapo kisiwa cha lampadusa karibu na Italia mtu wa west africa anazikwa kila siku kwa kufa mediterean kukimbia ugali kwa harufu ya bange kwao.Niger bila mwanaume kuo wake wanne haheshimiki, sasa utapia mlo ni somo la anasa kila mitaa. chunguza mshikaji
 
What about those who died in trucks
Angalia hao pia waliokufa jana kwenye lorry na wamelipa almost $10,000 each
Na sio Waislam View attachment 2276952
hao wengiwa o ni latino kutoka amerigo ya kusini. wanakimbia kuuwawa , kulipizwa kisasi na kudaiwa wakauwe . unajua kule kuna makundi ya kigangwe yanayomiliki malaya, madwa ya kulevya na kutorosha malaya wakajiuze duniani kote. ukiwachongea polisi wanamtatuta babako, dadako au nduguyo wamuuwe . basi hali ya maisha ya huko ni kuokota maiti tuu. ndo jamaa wanaona bora wajitose USA au canada au Ulaya! lakini west africa ni mpangilio mmbaya wa familia. sasa mwanaume mmoja wake saba, hao watoto 49 na wewe mkulima utaleaje ikiwa hata mbuzi wala mtumbwi huna? kaangalie kisiwa cha lampadusa makaburi yao. msomali kaacha matuta pale utazania anapenda!
 
akiuwawa mtanzania hawasemi waafrica wanauwawa hii ndo tabia ya vyombo vya habari vya west africa, Ila hao jamaa zao wakiuwawa huko ulaya wanasema waafrica wengi wauwawa ili na wewe mtanzania uumie kisaikolojia.. wewe achana nao na wakome kuingia ulaya kuiba magari na baiskeli wakauza africa. halafu hao jamaa wakifika USA au Ulaya wote wanatabia ya kusema wanatoka sauth Africa.
achana na haya majamaa ya west africa, hayana utu kabisaa. wengi wao wametoka katika maisha ya kuruka na ungo hii ndo adhabu yao.
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
Dah unafeli Sana mkuu. Taarifa nyingine so lazima kila Mara kuzihusisha na uislam na kumkejeli anaeaminika kua mjumbe wa mwenyezimungu hasa kwa waislam.
Hao wahamiaji wengine Wala so waislam . Wengine hutokea Sudan, congo na hata South .
Nb.
Was kaskazini mwa Afrika Ni wengi zaidi coz Ni karibu zaidi na ulaya. Ni Kama vile ambavyo Tanzania inashuhudia wimbi la wahamiaji Haram kutoka Ethipia, Burundi, Somalia na Kenya .
Juzi wamexico wahamiaji wengi 53 hivi walifariki kwa track wakijaribu kuhamia US bila vibali.
Hawa nao Ni waislam?
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
Hata Afghan wengi hawakuenda kwa majirani zao Iraq, Pakistan, walikimbilia Ulaya
 
Afrika ni shida. Ukitaka kujua hakuna waafrika wanachosoma angalia impact ya elimu zao.
Wanasoma ili WAAJIRIWE
Waajiriwe ili WAIBE
Waibe ili WAJIRUNDIKIE MALI
Kila awamu wao ni KUSIFU
Yaani ni ma Prof ma Dr lkn wanajitoa ufahamu mbele ya kiongozi.
Hawana faida kabisa yaani wachomzidi babu yao wa kijijini kuchanganya lugha za kigeni basi.
Afrika imegubikwa na watu WABINAFSI wasiopendana wao kwa wao.
Lakini tujue hakuna mzungu anafanya kwa faida yako

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
So sad Yan kuna huyo wamwisho kama anataka kufa naona kamalizwa kwakunyagwa,,,anyways hutosikia kiongozi wa Africa akisema Jambo kuhusu tukio hilo,,,sijui lini waAfrica watajua kua wazungu sio ndugu zao inasikitisha sana!bora uombe hifadhi nchi za Africa kuliko huko!
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
We unaumwa nini? Yani Afghans watoroke wadandie ndege ya US Airforce, walipuliwe hapo airbase na Taliban, wakanyaganye wafe kisa wanakimbilia nchi yeyote hata Rwanda wakati Saudi Arabia ni majirani tu hapo. Sembuse hawa weusi [emoji23]

Watu wako radhi kutoka Syria kuvuka Uturuki na ndugu zao wanawaona, wanaenda kubanana na kulala kwenye kambi pale Calais Ufaransa maelfu ya kilomita kutoka kwa ndugu zao majirani tena wenye uchumi safi
 
So sad Yan kuna huyo wamwisho kama anataka kufa naona kamalizwa kwakunyagwa,,,anyways hutosikia kiongozi wa Africa akisema Jambo kuhusu tukio hilo,,,sijui lini waAfrica watajua kua wazungu sio ndugu zao inasikitisha sana!bora uombe hifadhi nchi za Africa kuliko huko!
Hata leo hii Tanzania ikiwa na uchumi mkubwa sana let's say kama South Africa, Waafrika kutoka kila kona ya bara hili watakuja kuganga njaa hapa. Wewe utakubali?

Watu wanajenga nchi waishi wao, sio kila mtu avuruge kwake aje kupumzikia kwa wengine waliojenga kwa jasho na damu. Humu si ndio tunalalamikia watu wanaokula ugali kwa shemeji, wewe unaweza teseka ukajenga nyumba kisha akaja stranger anataka mbanane humohumo na umlishe
 
hao wengiwa o ni latino kutoka amerigo ya kusini. wanakimbia kuuwawa , kulipizwa kisasi na kudaiwa wakauwe . unajua kule kuna makundi ya kigangwe yanayomiliki malaya, madwa ya kulevya na kutorosha malaya wakajiuze duniani kote. ukiwachongea polisi wanamtatuta babako, dadako au nduguyo wamuuwe . basi hali ya maisha ya huko ni kuokota maiti tuu. ndo jamaa wanaona bora wajitose USA au canada au Ulaya! lakini west africa ni mpangilio mmbaya wa familia. sasa mwanaume mmoja wake saba, hao watoto 49 na wewe mkulima utaleaje ikiwa hata mbuzi wala mtumbwi huna? kaangalie kisiwa cha lampadusa makaburi yao. msomali kaacha matuta pale utazania anapenda!

Hapo Labda unaweza kuwaza hivyo lakini ukweli ni kuwa watu wengi wanataka kuingia Amerika ili kusaidia familia zao kwa kupata ajira na wala sio madawa wala kutafutwa na mtu

Watu wanatoka mbali sana sio tu watu wao wa Latin America ndio wanaingia laa bali hata wa kutoka africa wamo sana na ninawajua na kuwasikia waliopita huko na wengine kuuwawa na watengeneza unga maporini huko cartels

Wengi pia wa huko ni El Salvador , Guatemala na Hondorus na kuna watu wanavuka border kupittia misitu minene na hatari zote na wakati inakulazimu uvuke kwa mtumbwi maana maji ni mengi sana na Mito na mvua zisizokatika mara kwa mara
Kupita mapori hayo kuna wakati mwingine wanakutana na majangili na kuuwawa

Hapo watu wanaenda kutafuta better life
Kuhusu Lampedusa hao sio Wasomali naona huwajui Wasomali kabisa
Hao wengi ni nchi za jirani na Italy kwa bahari

Wasomali ni watu wanaopendana sana popote anapotoboa mmoja akifanikiwa wanawatumia hela na wenzao na wanapanda pipa wengi wao
Wengine wanakwenda mpaka Bangladesh na kuchukua pass za huko na kuingia nazo Ulaya

Hao Acha kabisa Yaani wanaokamatwa Tz hao ni Wa Ethiopia zaidi na Wasomali ni wachache sana waliokosa michongo tu na hiyo ni njia mbovu zaidi
Mimi nawajua wakimbizi sana maana nimefanya kazi sana katika masuala ya Uhamiaji na ukimbizi kwa ujumla

Have a nice day
 
Hata Afghan wengi hawakuenda kwa majirani zao Iraq, Pakistan, walikimbilia Ulaya

Hata Wahindi hawakurudi kwao India ingawa uwezo walikuwa nao bali waliingia UK na Canada na wengine Australia
Opportunities ni nyingi na sheria sio ngumu
Sasa utaenda kwenye sheria kandamizi ya nini

Hata leo wanaopita kwetu wanatamani tuwaambie kaeni msiende popote muishi na sisi
Ila huo uungwana tunao?
Tuna roho mbaya na ubaguzi wa hali ya juu kwa kusingizia usalama
Sijui tuna nini
Tusiwasontee vidole hao kabla ya kujiangalia sisi huwa tukoje likija suala la wakimbizi
Je tunawasaidia? Au tunawafunga na kuwanyang’anya hata senti yao ya mwisho?
Wanapigwa mapicha utafikiri wamekamata majambazi sugu
Huu udhalilishaji kwa ndugu zetu hauuoni

Ulaya wanapokea wakimbizi na kuna nchi nyingi pia zinapewa hela na UN kwa kuwahifadhi wakimbizi na sisi tukiwemo

Ila wakikamatwa polisi yote itahamia huko kupiga picha

Watu wanatafuta maisha popote na wamepitia mengi na bado tunawatesa tena daa
 
Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.

Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.

Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.

======

Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.

View attachment 2276572View attachment 2276573

View attachment 2276575
Waafrika tunatakiwa kupambana kuhakikisha nchi zetu zinapata viongozi wanaojitambua. Hii tabia mbovu ya kukimbilia kwenye mataifa ya watu illegally ni short term solution.
 
Back
Top Bottom