Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Nadharia zako siyo.
 
Lakini hakuzikataa pesa zao
 
Ni hadi tufikie level ya maturity kama wenzetu ndipo tutakuwa na mifumo bora.
Na sio hii ya mtumishi wa umma kuiba kodi zetu kwenda kununulia mabus binafsi,ambayo nayo utumishi ukikoma na mabus yanapaki juu ya mawe
 
Wakati mwingine ilikuwa ni sahihi zaidi kama wakoloni wangeendelea kuwepo hadi watakapotufikisha level ya maturity ndipo tuweze jiongoza.
Mwafrika aliishi maisha bora zaidi kabla ya UHURU.
Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi zaidi kuliko maslai ya waafrika wote. Case study.
 
Kwanini wasingeshtakiwa kwa mujibu wa sheria? Mbona hapa Tanzania wahamiaji hawauawi?
Nani kakwambia wameuawa wewe mbuzi ? , Kuvuka jangwa la Sahara kifo ni nje nje ,robo ya wanaovuka jangwa la Sahara wanafia humo humo jangwani , Kwanza kuna kupotea , mnaishia chakula na maji + exhaustion +intense heat
 
Wewe naye ni taahira ,Nani kakwambia hao wahamiaji haramu wameuawa na mzungu ? ,Mjinga wewe ?
 
Ndio tutajua harujuhi!!mtu mweusi,muislam,Mwarabu,hatakiwi ulaya,kama anaenda kama mkimbizi!!UK wakimbizi wote wanaozamia,wanakamatwa na kupelekwa Rwanda!!!
 

Bado tuna utumwa wa kifikra hatuko huru kusema ukweli tumejaa unafki.

Sijui tutafanya nini ili kubrash mind zetu ndio tutaweza kuona borit lililojichoni mwetu na sio kibanzi ndani ya jicho la race nyingine.

Issue sio kusema RIP ila tutendewe kama sisi tunavyowatendea wahalifu wa jamii zingine kwenye mipaka yetu.
 

Usiseme kwamba tuliishi maisha bora kabla ya Uhuru hapo ni kuwadharau vijana wetu halisi wa Africa waliopambana ili kutuondoa kwenye makucha ya watesi wetu.

Tusiende mbali hayati Juliasi Nyerere kaacha nini kwa bloodline yake?

Tuwape heshima yao wao walijitoa kwenye ukoloni na sisi yatupasa kujiondoa kwenye ukoloni mambo leo ili kuacha kizazi kitakachojipambania kua bora kama mataifa mengine yaliyoendelea.

Tusiwe wepesi wa wakutoa lawama ni wajibu wa kila mtu kujipambania.
 
Uzao wake awalali njaa.
Kabla ya UHURU uhakika wa maisha ulikuwepo.
Elimu bora,afya bora,ajira tele viwandani mashambani au ufanye biashara chaguzi ni wewe tu.Kazi ya mkulima ilikuwa ni kulima sio kutafuta soko kama dada,nchi haikutegemea kodi ndio iende, maendeleo yalikuwepo tena makubwa bila kodi bali uzalishaji tokana na raslimali tele, ufisadi,wizi wa mali ya umma haukuwepo.
Maisha yangekuwa bora waafrika wasingehatarisha maisha yao kukimbilia utumwani , huku maelfu wakikwama mabalozini kulilia kupewa makaratasi.
 
Ndio tutajua harujuhi!!mtu mweusi,muislam,Mwarabu,hatakiwi ulaya,kama anaenda kama mkimbizi!!UK wakimbizi wote wanaozamia,wanakamatwa na kupelekwa Rwanda!!!
Mbona wamejaa huko kama awatakiwi
 
Lakini hakuzikataa pesa zao
Pesa siyo haramu,... Haramu inaweza kuwa mashariti yaliyopo kwenye pesa, ambayo JPM NA NYERERE WALIKUWA AWAKUBALI KITU KAMA ICHO KUMBUKA ALIVYO KATAA MRADI WA BAGAMOYO NA SGR YA KICHINA hadi leo unaona sgr ya umeme ujue ni msimamo wake ...kapambana na mabeberu wakristo usiku na mchana kwenye madini yetu ..
 
mbaya zaidi weusi wenzetu daaa!! tena huenda ni wajomba zetu make hii mipaka tumewekewa na weupe ajili yao.... kuna ndg zetu huko wanasota damudamu lkn akipita hapa duuuuu unamuoana km kima
 
mbaya zaidi weusi wenzetu daaa!! tena huenda ni wajomba zetu make hii mipaka tumewekewa na weupe ajili yao.... kuna ndg zetu huko wanasota damudamu lkn akipita hapa duuuuu unamuoana km kima

Halafu kuna watu wanakuambia eti kwanini wanakimbilia Ulaya?

Wakati mweusi hampendi mweusi
Watu wamekimbia bunduki na wanapigwa na ndugu zao
Dada zao wamebakwa na wazazi wameuwawa, wazee wameshindwa kuondoka na wamechomewa nyumba zao

Badala ya kuwafariji na kuwapa sehemu nzuri ya kukaa au kuwapeleka camp ndio kwanza
Wanaporwa kila senti walizokuja nazo
Au wengine wwnawekwa kwenye viroba

Kweli dunia Ina mambo hii na wenzetu wazungu wanaficha mpaka sura za Ukrainians waliokufa
 
Daa!! kwa uchungu huu Africa yaani mkuu natamani hata kulia!
 
Daa!! kwa uchungu huu Africa yaani mkuu natamani hata kulia!

Inauma sana kuona mwafrika anambagua mwenzie
Ni wenzetu tena kama ni DNA utakuta tumeingiliana sana ila mtu anaamua kujitoa ufahamu mpaka kuwauwa au kuwanyima haki zao
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiviiii kwa nini waafrica wana kimbilia kwa wazungu tuuu!! na Israel, Australia tuuu!! kwa waarabu wanapapita tu km iviiii!!......wkt ni karibu tu hapo! mfano Misri unaweza enda kwa mtumbwi! kupitia ziwa victoria!!

Oman si! ni jikoni tu hapooo!! lkn wanapapita haooo! Ulaya!!
 
Unatafuta ugomvi wewe na wafia dini ileeee.... [emoji87][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…