Wakina dada ambao elimu ya mkoloni imepita chocho, kuweni makini na maneno ya marafiki zenu. Sio wote wanaowatakieni mazuri kwenye ndoa zenu

Amjadey

Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
83
Reaction score
31
Ipo hivi

Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri Familia nyumban na kazini kwa mzee baba. Kiukweli familia ilikuwa ipo vizur na ela yaukweli tu

Yule dada ilitokea mda alikuwa akipokea chokochoko kibao kutoka kwa marafiki na majirani zake kuwa mumewe haiwezekan ananawili na aiwezekan mke yupo nyumban mume yupo kazin anaendesha kwakuw si msomi, adi kumzushia kuwa mume anatembea na visichana vya kazini.

Wakamshauri uyu dada ampe dawa mumewe ili abaki awe kwake tu. Yule dada alitekeleza badala ya kupata anachokitaka mambo hayakuwa mambo yule mume alianza kuugua had kukawa amna kwenda kazini familia ikayumba had yule mme alifariki. Dada akaishia tu na majuto

Madada ambao kidogo elimu ya mkoloni imepita chocho, kuwen makini na maneno mnayoyasikia sio wote wanafuraha na ndoa zenu
 
Hata waliosoma wanalogwa. mtaloga sana. Ushirikina hauna elimu
 
Kuna mwingine mume wake alikuwa anafanya kazi Airport, akashawishika kumfanyia dawa ya kupendwa zaidi.

Akafanya ila mume akageuka kuwa kama zuzu tu hatoki home kazi kufagia nyumba na mazingira ya nje ya nyumba.

Njaa nayo imeingia na hakuna mtafutaji. Yaani hadi huruma!
Wachawi ni marafiki zake waliomshauri.
 
Dawa za nini?Raha ya mwanaume awe na kashkash....leo umekuta meseji ya Asha kesho ya Eliza...mara kachelewa kurudi mara kakupiga vibao yani full raha sio mtu anapoooooza ka mkojo wa ngedere inahuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108]tuacheni kuwapa dawa hawa watu jamani khaaa!
 
Kwa kiasi kikubwa wanaoroga waume zao ni wale wanawake ambao ni tegemezi kiuchumi kwa mwanamke kwa zaidi ya 100%

Ni kwa yule mwanamke ambae akiachwa hana pakushika!

Nyumbani kwao hakueleweki, akienda kwao uhakika wa kupata mlo walau mmoja wa chakula wa uhakika haupo!
Daah hatari sana
 
Dawa za nini?Raha ya mwanaume awe na kashkash....leo umekuta meseji ya Asha kesho ya Eliza...mara kachelewa kurudi mara kakupiga vibao yani full raha sio mtu anapoooooza ka mkojo wa ngedere inahuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108]tuacheni kuwapa dawa hawa watu jamani khaaa!
Nimekupenda bure rafiki
 
Tusiosoma tunanyanyasika sana
Watu wajifunze kutofautisha EDUCATION na INTELLIGENCE
Wasio na inteligence wanatakiw wasome ili katika safari yao ya kusoma wanaweza kupata iyo intelligence. Ndo maana wengi wenye inteligence wanaona hauwez kutok kivile kimaisha mapema ukiganda na kusoma. Wanapitisha level ya muhim tu ya elimu alafu wanajenga maisha yao
 
[emoji848][emoji848][emoji848]hatari sana
Kuna mwingine mume wake alikuwa anafanya kazi Airport, akashawishika kumfanyia dawa ya kupendwa zaidi.

Akafanya ila mume akageuka kuwa kama zuzu tu hatoki home kazi kufagia nyumba na mazingira ya nje ya nyumba.

Njaa nayo imeingia na hakuna mtafutaji. Yaani hadi huruma!
Wachawi ni marafiki zake waliomshauri.
 
Hakika ndio maana nakuoendaga sana.

Kunywa beer hapo kwa mangi pesa ntalipa na yakutolea[emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa za nini?Raha ya mwanaume awe na kashkash....leo umekuta meseji ya Asha kesho ya Eliza...mara kachelewa kurudi mara kakupiga vibao yani full raha sio mtu anapoooooza ka mkojo wa ngedere inahuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108]tuacheni kuwapa dawa hawa watu jamani khaaa!
 
Dawa za nini?Raha ya mwanaume awe na kashkash....leo umekuta meseji ya Asha kesho ya Eliza...mara kachelewa kurudi mara kakupiga vibao yani full raha sio mtu anapoooooza ka mkojo wa ngedere inahuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108]tuacheni kuwapa dawa hawa watu jamani khaaa!
Una akili sana,kuna vitu huwa ni kama kachumbari kwenye mahusiano
 
Dawa za nini?Raha ya mwanaume awe na kashkash....leo umekuta meseji ya Asha kesho ya Eliza...mara kachelewa kurudi mara kakupiga vibao yani full raha sio mtu anapoooooza ka mkojo wa ngedere inahuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108]tuacheni kuwapa dawa hawa watu jamani khaaa!
Asante dear love uuu
 
Back
Top Bottom