Amjadey
Member
- Jun 29, 2011
- 83
- 31
Ipo hivi
Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri Familia nyumban na kazini kwa mzee baba. Kiukweli familia ilikuwa ipo vizur na ela yaukweli tu
Yule dada ilitokea mda alikuwa akipokea chokochoko kibao kutoka kwa marafiki na majirani zake kuwa mumewe haiwezekan ananawili na aiwezekan mke yupo nyumban mume yupo kazin anaendesha kwakuw si msomi, adi kumzushia kuwa mume anatembea na visichana vya kazini.
Wakamshauri uyu dada ampe dawa mumewe ili abaki awe kwake tu. Yule dada alitekeleza badala ya kupata anachokitaka mambo hayakuwa mambo yule mume alianza kuugua had kukawa amna kwenda kazini familia ikayumba had yule mme alifariki. Dada akaishia tu na majuto
Madada ambao kidogo elimu ya mkoloni imepita chocho, kuwen makini na maneno mnayoyasikia sio wote wanafuraha na ndoa zenu