Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Yaani Wanaume hili swali hata namna ya kulijibu lakini mnakimbilia kusema hela. Tuwasikie wakina Dada/Wanawake wana maoni gani ? Alafu maoni ya Wanawake humu hawajasema hela lakini nyinyi Wanaume mnasema hela. Tuone maoni yao.
 
Kucha, harufu, mavazi na viatu.
Vijana wa kiume msije mkachukua hizi point mkadhani ni za msingi kukufanya kulast longer kwenye mahusiano, personal hygiene ni kitu kizuri, it projects "self love" but never listen to what women say. Kitu muhimu ni msimamo ,regardless, hii ndio itakufikisha kwenye nchi ya ahadi na mwanamke yoyote duniani.
 
Mleta mada hajamaanisha hiki ulichoandika hapa, msome tena.
 
Maisha ni varieties so unachiangalia wewe sio lazima mwingine nae aangalie.

Mfano Mimi sijawahi kuwa na wallet Wala Sina Mpango ,Huwa sichimekei ,Huwa sijipulizii manukato na Wala Sina viatu sijui vikali nk kama wanawake wanavyoeoeza humu lakini sijawahi kosa mwanamke kisa hivyo vitu hapo Juu.

So siamini kwenye hayo mambo japo nimewahi washuhudia wanawake wakikuangalia chini na kukupandisha,baadae ndio nikajua kujua wanaaangalia viatu sijui kucha ,muonekano,approach ya kwanza nk nk

But I can't bother Kwa Ajili ya hayo maana hayajawahi nikosesha mwanamke.

So mtoa mada usijisumbue watu wako tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…