joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yote kwa yote hela ni shortcut, mabinti wachache sana huchomoa kwenye fedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa pole yanini kwani kinauma?Pole sana 🤣
Ebu nione kwanza kucha.
Vijana wa kiume msije mkachukua hizi point mkadhani ni za msingi kukufanya kulast longer kwenye mahusiano, personal hygiene ni kitu kizuri, it projects "self love" but never listen to what women say. Kitu muhimu ni msimamo ,regardless, hii ndio itakufikisha kwenye nchi ya ahadi na mwanamke yoyote duniani.Kucha, harufu, mavazi na viatu.
Akashuka ,kumbe alidondosha wallet yake
Nikamwita akarudi kwenye gari..nikampa wallet yake.
Acha uslay queen na ww, bila kitambi mwanaune unaonekana huna status, na life ya kiafrika kitambi kina project dominance, so unaonekana the full masculine leaderKitambi
Sipendi vitambi aseee
Nikionaga mtu ana kitambi naona ni mzembe
Humu TUUUU Kilomi Kilomi kilometeeeerrrr oyooooooooo piga kelele kwa kilomita akeeeeeeNkamu kwa hili Igweeeeeee
Hata mimi sipendi watu wenye muonekano wa vibaka..
Hapo unakuwa umekubali muonekano sasa unaingia hatua ya kuthibitisha kama "KAZINI KUNA KAZI?"😂😂Muonekana usije ukatuponza...muonekano sawa,na je yaliyomo yamo....🤨
Mleta mada hajamaanisha hiki ulichoandika hapa, msome tena.Vijana wa kiume msije mkachukua hizi point mkadhani ni za msingi kukufanya kulast longer kwenye mahusiano, personal hygiene ni kitu kizuri, it projects "self love" but never listen to what women say. Kitu muhimu ni msimamo ,regardless, hii ndio itakufikisha kwenye nchi ya ahadi na mwanamke yoyote duniani.
Una vikucha vimechanua kama vyangu 🏃🏃🏃😂View attachment 3099985
Cheki vitu hivyo apo unaachaje kuvutiwa nami?
Wengi hawajakuelewa.Nadhani hujaelewa aisee, halafu sikulenga hasa mambo ya mahusiano ya kimapenzi. Soma maoni yenye I'd za kike utapata kufahamu
Standards zako zipo juu sana...seems u very pickyKwa nini?
Ndizi zimeivaa nije nile mke mtarajiwa?😀😀Ila wew
🤣🤣🤣 Kabisa kabisa...wasilete masihara aiseeHapo unakuwa umekubali muonekano sasa unaingia hatua ya kuthibitisha kama "KAZINI KUNA KAZI?"😂😂
Mwanaume kazi sio sura😆
Duuh na wewe na mvuto gani usio wa hovyo na usioakisi ushamba?Jambo la afya yake
Anakula hovyo hovyo
Maisha ni varieties so unachiangalia wewe sio lazima mwingine nae aangalie.Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya kwanza ? Iwe ni miadi, mualiko au sherehe au tukio lolote linalokukutanisha na Mwanamume/Kijana kwa mara ya kwanza ?.
Nimejaribu kuorodhesha baadhi ya vitu hapa muweze kutuambia hapa. Je ni kipi kati ya hivi nilivyoandika hapa chini huwa ni cha kwanza kukiweka akilini na kukitilia maanani ?
1. Manukato
2. Mikono na kucha
3. Mtindo wa nywele
4. Viatu
5. Usoni
6. Tabasamu
7. Muonekano
8. Mavazi