Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?




Hakika huyo kaka ndo Mimi huwa sipendi watu wapate shida katika mwendo kasi
 
Mimi naangalia yeyote tu kwenye zipu. Kuhusu mwanaume mimi nachagua sana. Kuna mtu nikimuona tu najua huyu ananifaa na huwa ana asilimia nyingi ya navyovihitaji awe navyo kuanzia kimuonekano, afya ya akili, usafi n.k


Kwahiyo Cash Madam mambo ya pesa na material stuffs ni nyongeza tu

Outlook , smart upstair , na Msingi kiuno inatosha kumpata cash Madam!?
 
Mimi naangalia yeyote tu kwenye zipu. Kuhusu mwanaume mimi nachagua sana. Kuna mtu nikimuona tu najua huyu ananifaa na huwa ana asilimia nyingi ya navyovihitaji awe navyo kuanzia kimuonekano, afya ya akili, usafi n.k
Eti Bantu Lady Watanzania kufanya mazungumzo mengi ya starehe, mahusiano na kungonoka ukilinganisha na mambo ya sayansi na teknolojia, uchumi etc ni ishara ya watu kuwa na akili ndogo?

Yoda
 
Saint Anne Mkaka anayenukia βœ…
Kwa kweli anayenukia ananivutia Kwa haraka
Ila pia kunukia kuendane na ustaarabu wa yale yote niliyoyasema

Kuna mwingine ananukia lakini unakuta yupo kufight na wamama kugombea siti..hana hurumaπŸ˜‚.


Tuongezee hapo
Na saa..
Watu wanaonukia mara nyingi na saa huwa wanavaa.
Shati lako ama tshirt yako safi sana na saa inapendeza.

Wale wanaoacha miboksa inazagaa nje mara nyingi hata saa huwa hawavai.

Nimewasahau wale wanavaa kaptura mapaja karibu yote yapo njee
Uwiii
Hata unukie vipi
Nikiona amevaa kaptura fupi mno mapaja yote yapo nje,aibu naona mimi..
Hii ni Kwa vijana wa daslama..huku mikoani hizo pigo hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…