Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Kwa hiyo Bantu Lady ya size ipi inakudatishaga nauliza kwa niaba ya mleta uzi bwana Manyanza
 
The way anavyobehave anaongea sana na anaongea nini
 
Kwa hivyo inawezekana kabisa wana akili kubwa ila wanapenda sana kubaki kwenye mazungumzo haya kwa makusudi tu, hawataki kuitumia akiki yao kubwa kwenye mambo mengine mengi?

Yoda
Kuna watu wakimya kabisa na wana akili nyingi, kuna ambao ni vilaza pia. Kuna waongeaji sana wenye akili nyingi na vilaza wapo.Vivyo hivyo kuna wapenda ngono ya kuongea na vitendo ni wenye akili na wa hivyohivyo ni vilaza.

Inategemea na malezi, sehemu aliyokulia, watu wanaomzunguka. Hatuwezi kupima mtu kwa kupenda mazungumzo ya ngono, tukamuweka kundi hili ma asiyependa akawekwa kundi lile.
 
Kwa hiyo Bantu Lady ya size ipi inakudatishaga nauliza kwa niaba ya mleta uzi bwana Manyanza
Najua huwezi niamini. Ila sipendi sex kabisa. Ni mtu naongea tu but siyo mambo yangu kabisa. Naweza kaa miaka hata 5 bilabila... sijui hata size ipi nzuri eti muda mrefu sana nimesahau 😅😅😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…