Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Zamani nlikuwa napenda kuessngalia wanaume wanaovaa vimodo, ule mchoro unajua kama kibamia, mandingo, msolopa, mwana ukome au dushee, yani wacha nitubu.
Ila wanaume kitu muhimu ni zipu, mengine mbwembwe tu.
Duh kumbe na wewe ni demu? Isije ikawa umevamia uzi maana humu "wa kuleft" hatuhitaji comments zao
 
Nimeona ktk huu mjadala ishu ya kunukia.

Ni kweli, Manukato yanakupa point nyingi sana mbele ya Watu mbalimbali...

Nje ya manukato pia wanapenda HEIGHT ukiwa na kimo kizuri tyr ww ni special case.. pia mavazi ambayo yanaendana na Viatu..

Kikubwa zaidi pia ukiwa na ka usafiri ni jambo la kukupa heshima zaidi...

Mguuni hakikisha una viatu vya kupanda mfano: Clarks, Chelsea boots👢, Travolta etc

Kupokea compliments kwamba unavutia ni jambo la kawaida..

Wait.. mkononi weka kitu cha maana.. ni muhimu.
 
Tatizo si kupenda nazungumzo ya ngono tu. Wenzetu wana mpaka pornography industry wameifanya biashara kabisa.

Tatizo ni kujikita sana kwenye mazungumzo ya ngono na kushindwa mengine.

Yoda
 
Hiyo story umetupanga
 
Hahaha. Nakoseaga kwote ila sio kwenye kiatu aisee.

Kuna siku mdada aliniambia unavaaga nguo ova msukuma ila viatu nakupendea hapo.
[emoji1787] Wasukuma wanapata tabu kila mahali.

Kiatu kinabeba muonekano wako kiujumla. Ukivaa nguo nzuri kiatu kibaya unakua umeharibu ila ukivaa kawaida na kiatu kikali unakua umetisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…