Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mi nnae mmoja.wana jua mambo.na wanakuja eneo la tukio kwa wakati.sio kama visichana visumbufu.mara mama yupo nyumbani siji.hawa muda wowote wana come.
 
Points zako sio kupuuzia moja kwa moja hasa ile ya kuchukia wanaume na kuwa tyr kuvunja mahusiano mda wowote nyingine ni za kawaida mixer chuki zako binafsi.

Umeandika nusu ukweli, nusu chuki.
 
Ila point namba 3. Ina ka-ukweli ambacho nimekutana nacho jana. Kuna Demu baada ya kumtongoza alinijibu kuwa anachukia sana wanaume wote. Ila nilikuja kugundua kuwa ameachika na amerudi kuishi kwa wazazi wake akiwa na watoto wake wawili.
 
Nimedate na single parents wengi ila nimejifunza mambo haya

1. Sio wachoyo wa kutoa papuchi

2. Hawana mambo mengi kama hawa wengine

3. Wako very straight akisema no ni no na yes ni yes

4. Nimesahau kidogo

5. Wanataka utoe matumizi ya mwanae eti ukipenda boga penda na ua lake

6. Ukiwa na pesa utawala sana

Ni hayo tu kwa leo
 
Wengine walishika mimba wakazifyatua kutokana na kutokubaliwa na wapenzi wao. Hivyo maumivu ya kumwaga yapo pale pale.

Hapo vipi, tufuatilie records zao mahospitalini Kwanza?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mtoa mada upo sahihi ...single mother siyo waku wachekea wanafaa kwa matumizi ya mda mfupi ila so kwa kuweka kambi...narudia tena single mother siyo kabisa mwisho wake ni maumivu...
 
Wanasemaga huku bora alietoa mimba 100 lakini sio mwenye mtoto tayari
Haaaaa kijana acha kujidanganya single mother ni bora kuliko mtoa mimba!!! Wapo wadada kazi umalaya na kutoa mimba sasa unaonaje hapo?
 
Ndio mkuu ushauri wako nishazingatia, mke wangu nilitoa bikra mwenyeweee
 
Nafikiri mleta uzi ana hoja ya msingi. Pia anajaribu kuwaamusha wanawake kutozaa na wanaume ambao sio waume zao.
Na hana tofauti na kauli ile ya kutosomesha wanafunzi wenye watoto
Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu
 
Duuh! Wapumzishe jamani hawa watu maana mtoa mada unawachukulia vibaya sana na unawahukumu kwa makosa ambayo sio yao kabisa, laiti ungejua sababu iliyopelekea kuwa hivyo naamini usingesema hayo
Hata tukiwapumzisha vipi hawafai kua mke, spoilt to the core.
 
mimi nimempenda single mother ana miaka 21 mtoto mzuri wa kimburu nataka kumuoa pia aliachana na mpenzi wake wa zamani sababu alimsaliti na alikua mkorofi sanaa, bado nafanya research zaidi kwake ila nimetokea kumpenda hasa
Jiandae kwa misongo ya mamazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…