Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hata tukiwapumzisha vipi hawafai kua mke, spoilt to the core.
Mama yangu alipewa ujauzito wa first born wetu akiwa na 20yrs na njemba ikakataa, basi kajikongoja kalea mimba na mtoto. After 1 yr mama alikutana na my dad wakaanza mahusiano na kuoana. Kiukweli siku zote baba alikua anasema anamuomba Mungu kufa atangulie yeye maana hatapata mke kama mama,,,,,,sasa kwa uzoefu huu kwa nini nisiwaheshimu hao unaowaita masingo?
 
Wanasemaga huku bora alietoa mimba 100 lakini sio mwenye mtoto tayari
Haaaaaa daah tafri hiyo ngumu sana kichwani kwangu, mi siamini sana single mother kuwa ni watu wa hovyo lakini kukubali kuoa mwanamke wa hivyo lazima uwe umekubaliana na hali zoteee
 
Mkuu mfano wako ni ishara tosha kwamba tatizo siyo single mother tatizo ni mwanamke mwenyewe
 
Wanasemaga huku bora alietoa mimba 100 lakini sio mwenye mtoto tayari
Tatizo ni kwamba, wanaume wengi mnawaangalia single mothers kama vile hizo mimba walipewa na wanawake wenzao sio nyie wanaume. Unaweza kukuta mtoa mada alishatandika wasichana mimba akawatelekeza na leo hii anaongea negative kuhusu single mothers.

Wengi wa single mothers walizaa na wanaume ambao walijua wana uhusiano nao wa kuja kuoana, wakaachwa solemba. So mwisho wa siku kama kuna ubaya wa kuwa single mother basi ubaya ni wa wanaume.
 
Subiri maoovu
 
Umewahi kudate single mother au u
unaongea tu?
 
Point ya nne umefeli,Kuna tofauti kubwa sana Kati ya kutembea na kuzaa na mwanamke, mwanamke akishazaa na mwanaume Ni rahisi huyo mwanamke kumrudia huyo aliyemzalisha yaani kwa lugha nyingine Ni kwamba kuoa single mother Ni sawa na kuoa mke wa mtu, ukishazaa na mwanamke mtoto mliyezaa Ni bond kubwa ambayo huwa haivunjiki, mwanamke ukishazaa naye tayari huyo Ni mke wako,nadhani huijui saikolojia ya wanawake
 
Number 1 & 5 ,ngoja waje kumwaga povu hapa
 
Umeoa single mother mmelala lijamaa linapiga simu "Niko hapa Kilimanjaro hotel kesho naomba umlete mtoto nimuone"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Single mothers mtanisamehe sana
 
Kama haujaoa mkuu
Nakuhakikishia mkeo atakuja kuwa single mother
 
Mkuu sikubaliani na wewe. Maana ukisema hivyo ina maana wanawake wote walitalikiana na waume zao wakiwa na watoto wakaolewa tena basi huwa wanatembea tena na waume zao wa zamani simply kwa kuwa kuna bond inayotokana na kwa na watoto na waume zao wa kwanza. Hamna kitu ya namna hiyo, hapo wewe ndio huelewi psychology ya wanawake. Labda unaongea psychology ya kabila fulani, la kwako pia, sio ya wanawake. Sasa hiyo siyo psychology, ni culture.
 
Sawa mkuu Basi oa single mother
 
Hee, Mkuu una tatizo. Unajumuisha kama vile kuoa single mother ni kosa la jinai. Hiyo ni discrimination. Huna tofaui na mtu mwenye mentality ya ubaguzi wa rangi.
Unabugi mzee,ubaguzi wa rangi it's a different case haihusiani kabisa na issue ya single mother,ndo maana nikasema tunatofautina mitazamo na namna ya kufikiri,kwangu mimi sipo comfortable kuoa single mother,wewe kama unaweza oa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…