Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Mjinga hawezi kuelewa hivi, ni mwanaume mpuuzi tu ndio atachukua ushauri wa kitoto namna hii. Yaani watu wamependana washindwe kuoana kisa kuna mvulana Jf kasema?Ila kwa mtazamo wangu,
Wanawake wote hawapo sawa, na maisha hayana formular. Unaweza ukapata single mother na akawa mke mwema kuliko kupata hata mwanamke alie BIKRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother??? Naomba jibuMjinga hawezi kuelewa hivi, ni mwanaume mpuuzi tu ndio atachukua ushauri wa kitoto namna hii. Yaani watu wamependana washindwe kuoana kisa kuna mvulana Jf kasema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother? Nipe jibuIla kwa mtazamo wangu,
Wanawake wote hawapo sawa, na maisha hayana formular. Unaweza ukapata single mother na akawa mke mwema kuliko kupata hata mwanamke alie BIKRA.
Swala la kuoa naamini ni kufanya maombi kwa mungu, na kujitahidi kutafuta alie bora kitabia. Na si kigezo cha kua single mother, bikra, mzuri kwa shepu, mzuri kwa sura na kadhalika.
Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother??? Naomba jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani usipewe? Yaani mke mwema kwako lazima awe bikra tofauti na hapo sio? Ndio maana nasema wewe ni mvulana, grow upHivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother??? Naomba jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mashoga Ni watu Kama watu wenginePambana tu na hali yako usitake kupangia watu maisha, Single Mother nao ni Binadamu kama Binadamu wengine.
Unafikiri kuwa mke mwema inakuja na label ya goodness?Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother? Nipe jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa,nimesema Kama ni mjane hapo hakuna tatizo au hujui kusoma???? Cha pili Ni kwamba hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu, mwanaume hawezi kumpiga mwanamke bila sababuWatu wa hivi wanakuwaga na matatizo mengi ya kisaikolojia na upeo wa mawazo hawana.
Hivi kwa mfano wewe kama mwanamme tuchukulie baba yako alifariki ukiwa mdogo. Mama akabaki alone na hali si hali hapo home labda hela nyingi ilitumika kuntibia mzee. Sasa Mama akaja kuolewa tena na Mashallah huyo Baba akawatunza fresh mkasoma mpaka mkahamia makwenu na mkaoa. Mama yako alikwa single ama hakuwa single?
Haya mfano mwingine. Dada yako anadundwa kila siku na shemeji yako. Na wewe unaishi kwa shemeji yako kwa hiyo hata kukohoa huwezi. Unasema sista dundwa tu mi ndo nishafika. Sista inafika mahali anaona cha kufia nini anaondoka yeye na wanae(bila shaka na wewe). Dada yako ni single ama sio single.
Nyie mumejikaririsha kwamba single mothers ni wale wa PMU. Pata Mimba Uolewe ndo maana maneno mengi ya karaha dhidi ya all single mothers. Mnajisahau wenyewe ni watoto wa single mothers.
Tuache kujitoa ufahamu basi.
Wewe ndo foolish,Biblia na Quran zinaelekeza kila mwanaume aoe mwanamke bikra,Sasa sijui wewe unamuongelea Mungu yupiKwani usipewe? Yaani mke mwema kwako lazima awe bikra tofauti na hapo sio? Ndio maana nasema wewe ni mvulana, grow up
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh yes.
Siyo wote ambao siyo single mothers ni wema na single mothers wote si wabaya.
Hilo ni suala la mtu na mtu tu.
Unafikiri kuwa mke mwema inakuja na label ya goodness?
Some men swear by single mothers wewe.