Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ila kwa mtazamo wangu,

Sipingi kukosea kuoa ni AJALI kama zilivyo ajali nyingine.

Ila Wanawake wote hawapo sawa, na maisha hayana formular. Unaweza ukapata single mother na akawa mke mwema kuliko kupata hata mwanamke alie BIKRA.

Swala la kuoa naamini ni kufanya maombi kwa mungu, na kujitahidi kutafuta alie bora kitabia. Na si kigezo cha kua single mother, bikra, mzuri kwa shepu, mzuri kwa sura, elimu na kadhalika.
 
Ila kwa mtazamo wangu,

Wanawake wote hawapo sawa, na maisha hayana formular. Unaweza ukapata single mother na akawa mke mwema kuliko kupata hata mwanamke alie BIKRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga hawezi kuelewa hivi, ni mwanaume mpuuzi tu ndio atachukua ushauri wa kitoto namna hii. Yaani watu wamependana washindwe kuoana kisa kuna mvulana Jf kasema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijaelewa chanzo cha hii disdain dhidi ya single mothers ni nini hasa!

Wema na uadilifu wa mtu hauwi defined na parental status yake bana.

Ni dhana potofu na ya kijinga kabisa kuwanyanyapaa single mothers.

Single mothers are not the scum of the earth.
 
Ila kwa mtazamo wangu,

Wanawake wote hawapo sawa, na maisha hayana formular. Unaweza ukapata single mother na akawa mke mwema kuliko kupata hata mwanamke alie BIKRA.

Swala la kuoa naamini ni kufanya maombi kwa mungu, na kujitahidi kutafuta alie bora kitabia. Na si kigezo cha kua single mother, bikra, mzuri kwa shepu, mzuri kwa sura na kadhalika.
Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother? Nipe jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa hivi wanakuwaga na matatizo mengi ya kisaikolojia na upeo wa mawazo hawana.

Hivi kwa mfano wewe kama mwanamme tuchukulie baba yako alifariki ukiwa mdogo. Mama akabaki alone na hali si hali hapo home labda hela nyingi ilitumika kuntibia mzee. Sasa Mama akaja kuolewa tena na Mashallah huyo Baba akawatunza fresh mkasoma mpaka mkahamia makwenu na mkaoa. Mama yako alikwa single ama hakuwa single?

Haya mfano mwingine. Dada yako anadundwa kila siku na shemeji yako. Na wewe unaishi kwa shemeji yako kwa hiyo hata kukohoa huwezi. Unasema sista dundwa tu mi ndo nishafika. Sista inafika mahali anaona cha kufia nini anaondoka yeye na wanae(bila shaka na wewe). Dada yako ni single ama sio single.

Nyie mumejikaririsha kwamba single mothers ni wale wa PMU. Pata Mimba Uolewe ndo maana maneno mengi ya karaha dhidi ya all single mothers. Mnajisahau wenyewe ni watoto wa single mothers.

Tuache kujitoa ufahamu basi.
 
Hujaelewa,nimesema Kama ni mjane hapo hakuna tatizo au hujui kusoma???? Cha pili Ni kwamba hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu, mwanaume hawezi kumpiga mwanamke bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom