Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Acha utoto wewe
 
Hivi unaweza ukaomba upewe mke mwema afu ukapewa single mother??? Naomba jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana, labda tunatofautiana katika itikadi zetu za dini au imani mkuu.

Ila kwa dini yangu, mungu anasema katika maandiko "Unaweza ukapenda sana kitu fulani kwa mapenzi ya dhati, ila kikawa na madhara na si kizuri kwa maisha yako. Na unaweza ukachukia kitu kwa dhati ila kikawa na faida kwa maisha yako. Kila kitu mungu ndio anaojua zaidi".

Hii kauli imebeba kila kitu, kuanzia mahusiano, chakula na mpaka starehe tunazofanya. Unaweza ukamchukia mwanamke kwa kigezo ni single mother, ila akawa ndio bora kwa maisha yako, na unaweza ukampenda kwa dhati mwanamke alie mzuri kimaumbile/bikra ila ndio akawa anamadhara katika maisha yako

Kama hauta kubaliana na mimi kwa hilo, basi naomba nisamehe, tusibishane mkuu.
 
kabisa mkuu ifike mahali tuwaheshimu hawa watu sio kuwadhalilisha kiasi iki yan alf hao hao ndo wakwanza kukushauri muache huyo mwanaume akufai fanya mambo yako toka kbs mtot mmoja sio dhambi alf leo mtu anakuja kudhalilishwa hivi hapana wanataka wanawake waendlee kuvumilia ujinga na manynyaso kisa kuogpa kuwa single mother.
 
Dogo unazingua, acha upuuzi

Kwa wakristo, kuna kitu kinaitwa Msamaha wa dhqmbi.

Kwanza sio kila anae achika makosa ni yake mwanamke hapana.
Na hata kama makosa ni kwa mwanamke.. Mungu anaweza kumsamehe na kumpa Mume.

So wew acha mambo yakung'ang'ania ujinga kubali kuelimika dogo.
Hujaelewa,nimesema Kama ni mjane hapo hakuna tatizo au hujui kusoma???? Cha pili Ni kwamba hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu, mwanaume hawezi kumpiga mwanamke bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole kwa yaliyo kukuta[emoji23]
Na unachotumia kiache sio kizuri kwa afya yako[emoji2210][emoji2210]
 
mtao mada umri wako tafadhali ninakikokotoo hapa nikupime maturity yako mzee, hivi mtu akitoa mimba ni single mother au siyo single mother, sasa kwa taarifa yako ni single mother wa marehemu, wewe hapo umeshiriki kutoa mimba ngapi
waache mama zetu watulie aisee maana kila mara single mother, single mother unatakwa waolewe na mbuzi
 
Wewe acha ushamba Biblia imeeleza nini kuhusu kuoa mwanamke asiye bikra??? Au unaropoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawasema single mother si kazi umelelewa Na baba Wa kambo au umezaliwa nje ya ndoa,pole Sanaa..

Kuna jamaa alikuwa anakazia kama wewe ingalia Kalelewa na baba Wa kambo hadi anajitambua.
Foolish,kulelewa na baba wa kambo haimaniishi na wewe uoe single mother,hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew unafikir bible ni kitabu cha hadithi ety.
Kuna mahali bible imeandika ukipigwa kofi la kulia geuza na lakushoto.

Sasa mimi nakuja kukutomba mdomon, vip utanipa na mkundu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Foolish,hapo na baba ako anahesabia Ana mtoto,hivi unaelewa maana ya huo mstari au unaropoka tu,Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora aliyetoa mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're foolish, Quran inaelekeza waislamu waoe wanawake bikra,then hiyo Aya unatafsiri Kama unavyotaka wewe,Basi kachukue mashoga maana wanaweza wakawa na faida katika Maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew unafikir bible ni kitabu cha hadithi ety.
Kuna mahali bible imeandika ukipigwa kofi la kulia geuza na lakushoto.

Sasa mimi nakuja kukutomba mdomon, vip utanipa na mkundu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Foolish,hapo na baba ako anahesabia Ana mtoto,hivi unaelewa maana ya huo mstari au unaropoka tu,Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya nipe jibu fasta,
Nimeisha dindisha huku nakusubili wew...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…