HakunaUwezekano wa binti yako kupata mimba na akajifungulia nyumbani kwako ni mkubwa.. cycle inazidi kuendelea maisha yako yatakuja kufanana na maisha ya kitukuu chako labda tu itokee azaliwe mtoto wa kiume anaweza akaleta mabadiliko.
Kuna wanawake wengine wanataka kuvunja ndoa za watu.Sasa Kama ulikimbia mtoto unataka mama amwambiaje mtoto?? Kuna baadhi ya wanaume hata azalishe wanawake Mia atajitahidi kadri ya uwezo wake ahudumie watoto wake.
hahahhaaaa mkuu.umetisha...hawaralarization.UWEZEKANO HUO UTAKUWA MKUBWA ENDAPO MZAZI ATAMLEA KTK MISINGI YAKUONA WANAUME WOTE NI ADUI NA KULISHWA NOTION YA "HAKUNA FAIDA YAKUWA NA MUME KTK MAISHA' KIFUATACHO KITAKUWA SINGLE MOTHER GENERATION WITH HAWARALIZATION.
NimeipendaNna umri wa miaka 36. Natafuta single mother aliye na mtoto mmoja tu. Sababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu. Sifa zake
1.Age 20-28yrs.
2. Maji ya kunde ama mweupe.
3.Awe na elimu at least ya form four.
4.Awe na mawazo ya kufanya biashara.
5.Awe tayari kuishi Mwanza
6.Kabila lolote
7.Dini yeyote ila mimi ni mkisto na sipo tayari kubadili dini yangu
8.Asiwe mnene wala mwembamba sana. Awe na shape kiasi kwamba nkiwa nae nsiogope kumtambulisha kwa friend na ndugu.
9. Asiwe mtu wa kuendekeza starehe kupita kipato.
Mimi nafanya kazi inayonipatia kipato cha kulisha familia, naweza kusomesha n. k.
Sijaoa na wala sijabahatika kuwa na mtoto.
Swala la kupima HIV kwangu ni la msingi endapo atatokea ambaye tume match.
Acha kumwita mwenzio chiziNi mwez sasa tangu nimekutana na huo single mom,mwanzoni nilimwona kama adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi wanawake tuna kitu kimoja ambacho huwa kinatuumizaga sana, wanawake tunaogopa sana kuachwa na hasa kama huku kuachwa kunajirudia. Ninachokiona kwa huyo dada shida yake sio pesa ulizokuwa unampa ila anaogopa maumivu ambayo alishayapata hapo mwanzo ikampelekea akawa single mother! Nashauri kubali mkutane na umueleze taratibu hapo alipo amechanganyikiwa kiakili na sio uchizi kama unavyomuona, moyo wake unaugua hayuko tayari kukukosa kwa namna yoyote ile.Ni mwez sasa tangu nimekutana na huo single mom,mwanzoni nilimwona kama adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew umeachwa mara ngapiMara nyingi wanawake tuna kitu kimoja ambacho huwa kinatuumizaga sana, wanawake tunaogopa sana kuachwa na hasa kama huku kuachwa kunajirudia. Ninachokiona kwa huyo dada shida yake sio pesa ulizokuwa unampa ila anaogopa maumivu ambayo alishayapata hapo mwanzo ikampelekea akawa single mother! Nashauri kubali mkutane na umueleze taratibu hapo alipo amechanganyikiwa kiakili na sio uchizi kama unavyomuona, moyo wake unaugua hayuko tayari kukukosa kwa namna yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu na hii hali unategemea kuna ambae atakubali kuachwa kirahisi?Ni mwez sasa tangu nimekutana na huo single mom,mwanzoni nilimwona kama adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi sababu cna mpango nae,simtaki tena! Wala sitaki hata kumwona.Mara nyingi wanawake tuna kitu kimoja ambacho huwa kinatuumizaga sana, wanawake tunaogopa sana kuachwa na hasa kama huku kuachwa kunajirudia. Ninachokiona kwa huyo dada shida yake sio pesa ulizokuwa unampa ila anaogopa maumivu ambayo alishayapata hapo mwanzo ikampelekea akawa single mother! Nashauri kubali mkutane na umueleze taratibu hapo alipo amechanganyikiwa kiakili na sio uchizi kama unavyomuona, moyo wake unaugua hayuko tayari kukukosa kwa namna yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Spark una moto sana wa kushusha nyuzi aisee [emoji2][emoji2] tupe muda wa kutosha basi baina ya uzi na uzi ili angalau tusahau kama uliweka bandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu na hii hali unategemea kuna ambae atakubali kuachwa kirahisi?
Sent using Jamii Forums mobile app