Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kanisani kwetu wanawake wana session yao wanaomba kupata waume, wengi wao single mothers.
Yawezekana dunia ya upande wa huko uliko.
Tunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakunaga mama mzazi wa hivi!
Fungua macho yako.. Hii nimeshuudia sijaambiwa kuna bi mkubwa mmoja age kama 55 niliwanasa akiwa na mwanae age kama 28 wakiwa kwenye conversation binti alikuwa akimpa mrejesho juu ya dawa ya mvuto aliyoipata kwa mganga inavyofanya kazi namnukuu "yaani mama saa hivi nikitembea hatua hata kumi lazima niitwe".
 
Loh!
Hatari sana basi
 
Tunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Boredom, tiredness, singlehood and loneliness ndio kinachoumiza wadada siku hizi, sio kujiweza kulea.
 
Malezi ya mama. Mtoto anakuwa anaona hakuna baba. Kutokana na aliyopitia mama.. anamjengea picha chafu mwanae kuwa wanaume si wazuri. Guess what.. akikua anaendeleza cycle. Mpaka itakapotokea wamechange mawazo yao for good.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kweli ni hatari sana , yaani ukitfuta mwadada mwenye maisha yaliyonyooka aliyelelewa na single maza utapata 1/100.

wakati mwingine unadhani.labda ni laana.
 
Tunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
haiwezi kuzoeleka mkuu, miaka dahali hata kwa wazungu haijazoeleka wanajaribu kuwa wahumilivu tu lakini haiko sawa. Kanuni ya Mungu haitabadilishwa na wanadamu kamwe, umejifanya
 
Mara nyingi inashauriwa tunapowaombea watoto tuvunje yale maroho ya kurithi, na hata maneno wanayonenewa watoto tuwe tunayakataa na kuyafuta kwa damu ya Yesu.
Sote tunajua maneno huumba, mzazi simama na maombi na wanao!
 
Back
Top Bottom