Tunakoelekea sio tulipo kwa sasa,sahiv bado wapo ambao usingle mother wanaona ni adhabu kubwa kwao ila tunakoelekea itazoeleka sana,kipindi nlipokuwa mdogo ilikuwa ni kitu cha kushangaza sana mwanamke kujifungua bila kuolewa yaani akishabeba mimba basi ataforce kuolewa na mara nyingi wanaolewa na wazee kabisa kama babu yake anachohitaji ni kuitwa mke wa fulani basi hahitaji hata mia ya mzee wawatu, akijifungulia nyumbani ni aibu kwa familia nzima kuanzia baba yake, mama na kaka zake yaani ni anatengwa ila kwa sasa nani anajali akishaweza kupambana na hali yake hakuna mtu anajali sana kihivyo labda tu akiwa hana uwezo wakulea kidogo anaweza kuvuta attention ya watu
Sent using
Jamii Forums mobile app