Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Mlitakiwa kulipokea Kama suala ambalo Ni tatizo kwa jamii na kujadiliana namna ya kuuondoa huo ufedhuli.Kwa hiyo kama yapo? Kila lililopo kwenye jamii basi linafaa kuendelezwa na kupigiwa debe?
Sio kuishia tu kumtukana mtoa mada Kama vile ndio Mara ya kwanza mnasikia.
Kuna mtu haelewi akielimishwa atajua namna ya kukinga rather than kutoka na message ya kuwa mtoa mada katukanwa Sana.