Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Natumai hamjambo! Mwenzenu cjui nnatatizo gan? Kila binti mrembo nnaemtupia ndoana/ kudate nae nakuja kugundua ni single maza! Na huwa wananing'ang'ania haswaaa baada ya show ya kibabe,swala hili limekua likiniumiza sana kisaikolojia!.Wajuvi wa mambo naomba mnipe njia ya kuwanasa warembo virgin ili nami nifaidi kiduchu.Uzi tayar!
 
Fanya maamuzi tu , kwani tatizo lao nini?
Fanyeni agreement tu zinazowezekana.
 
Wengine ni mazombie huwezi hata kukaa naye mwèzi
 
Kuna single Maza Ni slay queens pia.
Angalia usije wapata hao na ndio wengi mitaani
 
Mkuu sikushauri single mother wengi wanakua wameshindwana na waume zao na mara nyingi ni kwa tabia zinazohusisha utii ama uaminifu ikumbukwe huyo ni mtu mzima hutakaa umtoe kwenye huo mstari hivo nawe utaishia kuzinguana nae tu mark my words will thank later
 
Mkuu tumefanana akil ktk hili
 
Ukimpata yule ambaye jamaa aliyezaa naye ameshakufa kwakweli utaenjoy sana maisha.
 
Wenzako wana ndoto za kuoa mabikira wewe una ndoto za kuoa single mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…