Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single mother inapotokea shida kila mmoja anatamani kikumbia
Lakini walio lelewa na wazazi wore ikitokea shida wanatafuta mtu wakuwasaidia kifedha mwanafamilia hili maisha ya endelee .
Lkn single mother wengi hawakupata support toka kwa ndugu hasa kielimu .
Sasa mategemeo yao ni ndoa .Sasa uchumi ukifaili kila mtu anatamani kukimbia
 
Kwanza mi sidharau mtu in real life ukiacha hapa nyuma ya keyboard ila tu nimesema mambo mawili makubwa, Cha kwanza mimi siwezi binafsi na huu Ni msimamo wa wanaume wengi hata humu pitia nyuzi nyingi utagundua huu Ni msimamo wa wengi tu.

Pili,self fulfil prophesy ni kweli kabisa..

 
Most of them wanaishi kwa kulalamika Sana .at ukimsomesha atakukimbia .wanaoongaza kupotezeana muda .ukijenga nae nyumba anapambana iuweze mugawanae
 
Nimgumu naona unawakilisha maazimio yetu ya kikao.

Endelea mimi nitakuja kumalizia hapo baadaye.
 
sikubaliani cause Life is how you make it, too much negativisms you will not make it tangible.

Hata huyo politically null child, amechoropoa mara kibao,

Hata uoe bikra, siku hizi kuna artificial nyingi tu. wanakamulia ndimu au na maji yarangi

more importantly mnaelewana baaasi.
 
I love you...can u agree to https://jamii.app/JFUserGuide me freely....maana siyo kwa point hiyo.sure mekukubali
ninao wangu naye the same...... we fall inlove....get married......kuna tatizo?......tunasema single mothers dd they fucked themself..........????...wengi wameolewa na wana ndoa njema sana...
 
Maisha ya ndoa ni kutawalana na kunyanyasana? Acha kubagua binadamu wenzako... kila mtu ana mapito yake na mapungufu yake.. muhimu ni kupendana, kuheshimiana na kuvumiliana, hakuna mkamilifu hapa duniani..
 
" MY HUSBAND COME HOME NOW BECAUSE MY CHILDREN AND UR CHILDREN ARE BEATING OUR CHILDREN " hahahahah
 
Rate ya single parenting nadhani inaongezeka kila mwaka, sababu hasa ni nini? Tunapoelekea tutakuwa kama western world, wao kwa sasa wanaachana sana, ndoa zao hazidumu. Kwa nini kuna wanaume wanaona kuoa/kuishi na single mother ni mkosi au balaa?

Maisha ni vile utaamua wewe kuishi, unachokiona bora kwako, hakika kwa wengine hata hakina nafasi. Kila mtu aishi kwa mtazamo wake, ili mradi you're not interfering with others' life.
 
You nailed it. Kuoa single mother ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume. Sigle mother ni THE OTHER katika mahusiano.
 
hii kiboko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hahah watakumaindii....But umeongea kitu sensible sana. Ukiwa huna options mwanamke atakusumbua sana na huo ndo ukweli unaofanya raia humu ndani wanashauri tutafte pesa tu.

Ukiwa na pesa inaaminika kwamba options zote zilizo mbele yako waweza kuziendea. Hamna namna mwanamke atakusumbua kama anajua una guts za kum replace ndani ya muda mchache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…