First of all asilimia kubwa ya single mothers ni mademu waliokuwaga hot sana kabla hawajawa single mothers.
Whe she was hot usingeweza kuwa nae kwa sababu wewe hukuwa class yake. Still ur not her class.
Anapo kuwa single mother wale wanaume ambao walikuwa class yake wana mkacha.
Hawawezi tena kuwa nae kwa sababu they think she is no longer their class.
Mentality ya mwanaume anae muoa single mother:
Hawa ni wanaume ambao wanapenda kuoa wanawake wenye kasoro au mapungufu ili waweze kuzitumia kasoro hizo au mapungufu hayo kuwatawala vizuri.
Atataka aoe mwanamke ambae amesoma mpaka darasa la saba kwa sababu ana amini atampelekesha na kumburuza and she will remain loyal to him.
Atataka kuoa mwanamke anae toka kwenye familia ya kimasikini ilu aweze kumnyanyasa vizuri.
Atataka aoe mwanamke aliye zalishwa na mwanaume au wanaume wengine kwa sababu ana amini mwanamke huyo anakuwa hana chaguo lingine so atamtawala vizuri.
What happen when mwanaume mwenye mentality hii anapo amua kumuoa single mother?
Mwanaume mwenye mentality hii anapo muoa single mother huwa anaamini kuwa single mother huyo atakuwa loyal sana kwake but matokeo huwa kinyume chake kwa sababu ifuatayo.
A woman will be loyal to u because of two reasons:
1. Whe she thinks u have other better options than her.
2. When she doesn't have any other better options than you.( Wanaume wengi wanao wachukua single mother huwa wana calitalize kwenye fact hii)
All these two facts co exist.
If u marry a single mother she thinks u dont have any other better option than her kwa sababu kama ungekuwa na other better option usinge weza kumuoa yeye ambae amezaa mtoto na mwanaume mwingine. She thinks una mapungufu fulani ndio maana umeshindwa kuoa mwanamke ambae hana mtoto.
Hapo ndo mwanamke huyo anaposhindwa kuwa loyal kwako kwa kiwango ambacho ulikitarajia.
Kumbuka when ur going to marry a single mother ur not going to " start " a family with her . Actually ur going to " join" her family which constitute of her and her kid
(s).
A really man will need to start his own family and not to join another family and when ur blind enough to think that it is ur family u will end up on being a stranger in ur own family.
Tuchukulie mfano wa Zari na Diamond kama wangeoana, would u say that Diamond has started a family with Zari or he has just join Zari's family?
Hakunaga mwanaume mwenye dream za kumuoa single mother. Ulipokuwa kidato cha nne wakati akili yako bado haijawa corrupted hukuwa una dream za kuoa single mother.
Wazo la kumuoa single mother huwa linaletwa na the bad part of ur brain ambayo huwa inakuwa activated when ur brain is corrupted.
Single mother wanalijua hilo ndio maana wakiona mwanaume anataka kuwaoa wanamuona muona na yeye ana mapungufu au kasoro fulani sasa unapoenda kumuoa single mother huku ukiwa na wazo mfu kwamba utaenda kumnyanyasa kwa sababu yeye ni single mother unakuwa ni sawa na mwanafunzi ambae ame learn it the opposite way , u will be bound to fail.
Unaweza kumnyanyasa mwanamke ambae sio single mother na akaendelea kukuvumilia kwa sababu ya kuogopa kuwa single mother lakini huwezi kumnyanyasa single mother kwa sababu most of them.are so good in being single mothers and they don't give a damn about being single mothers ndio maana wengi wao hawadumu kwenye ndoa au mahusiano.
Do ur own research..mifano mingine ipo wazi: Zari, Anti Ezekiel, Hamisa Mobetto, Shamsa Ford, Kajala na wengine wa mtaani kwenu na ofisini kwenu ambao najua unawajua wengi tu.
SULUHISHO: UKIMUOA SINGLE MOTHER USIMNYANYASE KWA KUTUMIA KIGEZO CHA USINGO MAZA WAKE NA USITEGEMEE ATAKUONYESHA UTIIFU USIO WA KAWAIDA KWA SABABU YEYE NI SINGLE MOTHER. USIWE NA MENTALITY LIKE " DAH YANI HUYU MWANAMKE ANAWEZA KUNIJIBU HIVYO!!! MWANAMKE MWENYEWE NIMEMKUTA TAYARI AMEZALISHWA MTOTO!!! AMD BLAH BLAH BLAH"
ISHI NAE VIZURI KWA SABABU HATA YEYE KIMOYO MOYO ANAKUONA UNA MAPUNGUFU NA KASORO KWA SABABU KAMA UNGEKUWA HUNA MAPUNGUFU NA KASORO UNGEENDA KUOA MWANAMKE AMBAE SIO SINGO MOTHER.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°