Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sijui nite povu Sijui stress......hiyo research yako itakuwa ya koromije huko yan unadai single mum ndo wanaolewa zaid skuiz kuliko wan awake wasio mas ingle mumy...u r trying to turn the world up side down eeeeee yan m2 aache k2 OG aende kuoa kitu used
 
Personally mi sikandii single mother yeyote na kama ni mapenzi kama anakuwa kafikia vigezo vyangu naoa tu maana kuna circumstance nyingi tu katika maisha.

Sio kila single mom alikuwa malaya ama ana tabia za kishenzi, wengine ni result ya kufanya wrong choices tu katika maisha yao ya mahusiano ama ndoa. Just imagine mtu ameolewa na mwanaume mpuuzi tu...

I have a real story about my 2 beautiful sisters waliopata wanaume wa kinyaki, wote wako well off and very understanding women.

Mwanaume wa kwanza alikuwa ni Tiss yeye kachezea mashine miaka 6 akajitambulisha halafu akatia goli moja ila akawa haeleweki na mpango wa kuoa bi dada akapiga chini. Ameolewa na jamaa mwengine akapigwa goli 2 sahivi maisha yanaenda safi mno jamaa yuko njema sana anakula bata huku dada romantic na ana mawe ya kutosha. Ndio maana nasemaga sitaki KE maskini jamani.

Jamaa wa pili ni Lecturer MWEKAU amechezea mashine 3 years akatia goli 1 na kuleta mahari. Baada ya hapo ka stack hamna analofanya zaidi ya kumstress bi dada aliekuwa na uchu wa kuvaa shela kisa kashalipa mahari. Uzuri mungu amenijalia dada vichwa, alipovuta first class yake na CPA akatupwa TRA HQ chap akiwa pale ndio akakutana na jamaa mwengine alie serious na kutaka mke ikalipwa mahari ingine na wahuni tukala pilau chap kwa ukali. Mpaka sasa ameongeza raia wawili na maisha yanasonga freshi tu na senior mwenzie pale.

Another one yupo mamtoni nae ameolewa mapema sana but after 10 years she is now 31 amedivorce na jamaa wake, mnyaki maana amelelewa na mama na mjomba wake wote wanyaki. Huyo jamaa amekuwa akifichiwa udhaifu for all those good years. Sis kamenyeka kama man of the show toka bongo mpaka mtoni akamfanyia mpango jamaa aende na watoto wakaendeleze maisha mamtoni. Jamaa kaleta upumbavu at last baada ya kuruhusu cousin sister wake aingilie uhusiano wake na mkewe kwa mambo ya kimbea. Sis akaanza kupigwa vita baridi na wifi na mama mkwe wake. Jamaa kashindwa kusimama katika nafasi yake sista kamkacha. But najua nae akikutana na mtu makini ataolewa tena chap tu.

So hizi ni relevant stories ambazo naweza kuzitumia kama grounds za kuwatetea single moms. Ni vitu vimetokea kwa uhalisia kabisa na kimsingi sio kila single mother alikuwa malaya nakiri. Na walioupata huo usingle mom bila kustahili mungu huwa anafanya nuru kwao na wanapata waume fresh maisha yanasonga.
 
 
there u are..
atleast we still have understand men like u..
yaani mi huwa nashangaa sana wanaume wanaowakandia na kudharau single mom kila siku humu jamvini, ni upumbavu wa hali ya juu kwakweli.

na vp khs single father? nao ni viwembe au mafisi?
 
Ni kasumba tu hizo, halafu hio rate ya kuachana siku hizi ni kupingana na customs za asili yetu ya Afrika. Biashara ya kutukuza wanawake ilishakatazwa hata na vitabu vya dini ila watu wamekomalia huo ujinga.

A woman has to be led
 
x
there u are..
atleast we still have understand men like u..
yaani mi huwa nashangaa sana wanaume wanaowakandia na kudharau single mom kila siku humu jamvini, ni upumbavu wa hali ya juu kwakweli.

na vp khs single father? nao ni viwembe au mafisi?
Single fathers nao kama sio kufiwa na mke basi huwa wanapataga wrong choices za wanawake kwa tamaa ya ngono au nyege. Unaweza kuta umetmbana na baamedi, beki 3 au mwanafunzi bila mpango ukamtia mimba.

Kwakua tuna uwezo wa kukubali au kukimbia tunaweza amua lolote, its a result of stupidity lakini. Thats why me silali na mwanamke ambae sina hisia nae.
 
thas good
 
Kwahyo unataka kutuambia wanaume wa kinyaq ni ma womaniser au? What if hao dadazako walikuwa ndo tatzo.....omeongelea upande m1 kwakuwa defend hao wadada kama vile wao ni malaika.
MAMBO YA WAWILI SKUZOTE NI NGUMU KUYATATUA
Hao jamaa ni stupid tu from the core!

Tumejaribu kusuluhisha hio migogoro na katika pande zote wanaume ndio wameonekana wapuuzi! Wanyakyusa wanajionaga smart katika kila kitu ila wame prove weakness in every angle of raising arguments and facts. Wako kama kondoo alilosema na kutaka mama au dada ndio hilo hilo ukoo mzima utafata hata kama ni upuuzi!

Hivi unaweza oa mke ukakaa nae kwa mamaako for 9 years huku yeye akikulisha wewe na mamaako?

Unaweza lipia mahari mchumba ukakaa nae kwako zaidi ya mwaka huku ukikwepa kumuoa kwa kiburi kwamba umemzalisha hatakuwa na pakwenda na unaspend mda mwingi kazini mkoa tofauti na ulipomuacha? Mbaya zaidi ukirudi huna time nae. Huyu jamaa alichanganyikiwa baada ya mke kusepa.

Hebu tetea bila kuwa biased!
 
true true...naunga mkono hojaa[ila na wazaa hawa ma girl nilio wazalisha alfu mi nikaowa mwingine,je ndo nimearibu future yao kihivi...Mungu nisameheeee
 
Ni ukwel usiopingika kuwa kijana ukienda nyumban kutambulisha mke mtarajiwa halafu wazazi wajue huyo mke ameshazalishwa na so far alie mzalisha yupo hai yani watadiscuss sana kuwa kijana wetu kapatwa na nn..ni kama vile kuoa mke mwenye umri mkubwa ... ukiona single mother ujue either huyo mama au bwana wake mmoja ni tatizo so lazima uwe makini la sivyo utapata tabu sana..(fupa lililomshinda fisi)imagine single mother ana watoto wa 3 kila mtoto na baba yake lazima kabla hujaoa pitia profile vzr la sivyo utakua ka single father..[emoji2]so alie leta uzi asilaumiwe japo si lazima aliyosema yawe hvyo japo na ukwel pia kausema..kuna jamaa aliona single mother tena ana umri mkubwa unajua hadi ndugu wa upande wa mwanamke walikua wanajiuliza jamaa anaujasiri gani yani hata ndugu wakiume wa mwanamke wanasema inataka moyo..[emoji16][emoji16]all in all wapo walio happy na single mother na wapo ambao wanalia na vigoli wao
 
Ukishajua ndoa ni nini utaelewa namaanisha nini
kwasasa unaendeshwa na hisia za kichuochuo kama sijakosea mnaota ndoto nyingi sana kama mnaishi peponi vile
ngoja ukue kue kidogo utaelewa tu

Unakumbuka ukiwa mdogo sana uliambiwa ukikua utajua? Unadhani utajua ni magorofa?
subiria tu utajua nini kinaongelewa

pia hatuangalii kipi ni ktu og tunaangalia nani anafaa kuwa mke
na ninakukumbusha tu wasichana ni wengi sana ila wanawake ni wachache na kupata mke ni adimu zaidi ya unavyofikiria
 
Nao wakamuliza mwalimu wao.

Je sisi vijana tufanye nini ili tuweze kuwapata wanawake wa kweli ambao ni bidhaa adimu ?
 
Ni kasumba tu hizo, halafu hio rate ya kuachana siku hizi ni kupingana na customs za asili yetu ya Afrika. Biashara ya kutukuza wanawake ilishakatazwa hata na vitabu vya dini ila watu wamekomalia huo ujinga.

A woman has to be led
Kila siku wanahubiri haki sawa kwa wote.
Picture 20 years to come tutakuwa na kizazi cha aina gani.
 
Kwa narration uliyoitoa ina portray kwamba hao wanyaki hawakuwa wamejiandaa kulea familia zao.
 
Nao wakamuliza mwalimu wao.

Je sisi vijana tufanye nini ili tuweze kuwapata wanawake wa kweli ambao ni bidhaa adimu ?
Kuweni wakweli na kuishi katika uhalisia mkiishi kama wanaume na uanaume wenu utadhihirika
Nyuki haambiwi hili ua limekwisha kuchanua, hunusa harufu na kulifuata
 
Kwa narration uliyoitoa ina portray kwamba hao wanyaki hawakuwa wamejiandaa kulea familia zao.
Atuombe radhi wanyaki hatupo hivyo, wala hakuna maisha ya namna hiyo
mwambie sisi tumeanzia kitu tunaita iklumyana unaanza kuishi peke yako nje ya nyumba ya mzazi wako ukishakuwa na miaka 12 tu na kuendela

labda walaikuwa na madhaifu yao wao binafsi na kachukulia kama ndio msingi na uhalisia wa wanyakyusa but all in all hawapo hivyo

mchaga mmoja aliyekosa shepu hafanyi wachaga wote kutokuwa na shepu na mnyakyusa mmoja mwenye msambwanda kama ant ezekieli hafanyi wanawake wote wakinyakusa kuwa na misambwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…