Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Daaaah very stupidy kwakweli hiyo midume haijielew
 
Tunaongelea kitu original aisee sasa mambo ya chuo yamekujaje mi chuo nimemaliza longtime agooo.
Hata Allah alimuumba Hawa akiwa OG hakumleta akiwa used (single mumy).
 
Asee ningekua karibu ningekupa mkono wa hongera fundisho kubwa sana hilo...na istoshe watoto wa single mother huwa wanakudharau sanaa...U ARE VERY RIGHT ON THAT
 
Daaaah very stupidy kwakweli hiyo midume haijielew
On top of that ati mama mkwe anataka ndugu wakimkorofisha sista ati yeye ndio awaombe ukoo mzima msamaha.

Sijawahi kuona kituko kama hicho maishani.😂😂😂 mtu akutie kofi unyamazege tu ukirudisha mashambulizi wewe ndio ukaombe samahani!
 
Halafu eti wanalalamika kuwa wanawake ni wajeuri na bado mbona hilo ndo kwanza trailer tu movie yenyewe hata haijaanza
 
Unaona enh? Kumbe zile ni porojo tu nilitaka kushangaa wanaume wa siku wakubali kuwahudumia wake zao kwa kila kitu? Haiwezekani. Ila ndo hivyo nyie kazi za nyumbani hamtaki kufanya
Mke kumhudumia namuhudumia but nayeye lazma anipe huduma stahiki hilo la kufanya kazi ni option yake. But haliingiliani na huduma anazotakiwa kunipa
 
Wiyj
Mwanamke anakua single mother kutokana na factors kadhaa ambazo zingine zinakua nje ya uwezo wake...


Sii kila single mother ana back ground mbaya... ni sisi wanaume ndiyo huwa vigeugeu sana...


Cc: mahondaw
With due respect i beg to differ
Single mothers are single by choice. They are never a victim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…