Sumu ya nyigu
Member
- May 18, 2019
- 60
- 111
Bado nakusanya data/mawazo/ushauri kabla ya kufanya analysis na ku' finalize decision mkuu!Hadi sasa umefikia wapi mkuu?
Bado nakusanya data/mawazo/ushauri kabla ya kufanya analysis na ku' finalize decision mkuu!
Bado nakusanya data/mawazo/ushauri kabla ya kufanya analysis na ku' finalize decision mkuu!
Tena ndio lilikuwa jogoo lambegu aiseeKuna mwenzako alikuja huku kuomba ushauri alizaa na singlo mother watoto kama wa2 hivi ikatokea siku yule jamaa wa1 akaja akachinjiwa jogoo la pasaka...
Inaeleweka sana ukiwa great thinker.[emoji848][emoji848][emoji848] hebu nieleweshe vizuri kuhusu hili,
Zinaa hadi kupachikwa mimba na mchepuko wake.Kwanini umemuacha
Zinaa hadi kupachikwa mimba na mchepuko wake.
Pole dahZinaa hadi kupachikwa mimba na mchepuko wake.
Pole mkuu,sasa hapo ili unenepe upate single mother anayejitambua,kinyume cha hapo utajuta kuzaliwa...Zinaa hadi kupachikwa mimba na mchepuko wake.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji114][emoji114][emoji114]Zinaa hadi kupachikwa mimba na mchepuko wake.
Wa kwanza ana16yrs wa mwisho 2yrs.Una watoto wanne bado unataka kuoa!?? Huoni km utaongeza stress tu!?? Na hao watoto wako huyo wa kwanza na wa pili wana umri gani!??
Umri wangu 39yrs bado mwili unahitaji huduma hivyo sitaki kuzini inabidi nioe single mama nikiamini umri kuanzia 30yrs tayari ana mtoto au kama hajaaliwa kupata mtt itakuwa vyema pia ila awe anajitambua.Una watoto wanne bado unataka kuoa!?? Huoni km utaongeza stress tu!?? Na hao watoto wako huyo wa kwanza na wa pili wana umri gani!??