Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Nahitaji single mother umri 30 hadi 50,dini yoyote aje tuyajenge,mm ni single baba nina wtt 4,nimetalakiana na mwenzang kisheria.naishi kwang mwanagati dsm,ninajishughurisha na biashara.
Kwa nini mmetalikiana? Mrudie mkeo.
 
Kuona mwanamke mwenye mtoto ni kujibebea matatizo
 
Hata mke wako anaenda kuwa singo maza wee endelea nae tu. Maana hata anekuja anakuja na mtoto ambae sio wako.
 
Single mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,

Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,

Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,

Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,


Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.

Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.



Cc Zero IQ
 
Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili

Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.

Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
 
We ni single bi mkubwa nini mkuu?
 
Niwasihi na kuwatia moyo Masingle mothers wote wanaopita humu Jf na kusoma hizi nyuzi kuwa wasikatushwe tamaa, wasimame imara wapambane na Mungu yupo upande wao.
Hawa wanaongea maneno ya shombo hata wao walilelewa/wanalelewa na single mothers

Kuwa single mother sio dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…