Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hapana si wote ni baadhi yao maana kuna single mothers na single ladies nawajua wamejenga nyumba na wana magari kwa biashara ya kudanga tu haki life is not fair at all
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe kupata mimba ni uzembe fwata nyota ya kijani
 
Tena mgogoro wenyewe unabishana na mpemba. weeee patam hapo.[emoji23][emoji23]
 
Juhudi zao ndiyo serikali yao. Wakisubiria nani atawaletea?
 
Wanajisimamia wenyewe,hawapangiwi siku ya kusfiri kwenda kampala au Nairobi
 
Men are a destruction in women's success
Ukiwa single utajiamulia nini ufanye,lini wapi na kwa mostly manufaa ya mwanamke mwenyewe, in short una nafac kubwa ya kutimiza ndoto zako kama mwanamke
Ila ukiolewa ama ukawa somebody fiance's unaenda kutimiza ndoto za huyo mwanaume kwa sehemu kubwa.
 
Hu-sigeneralize. Single mothers wengine wengi tu ni kwa utashi wao wenyewe. Kubakwa au kufiwa na mme hiyo kila mtu anajua ni majanga katika maisha na pole zao. Lakini wengine ni uhuni tu, hachana nao wameishapata walicho kuwa wanakitafuta. Hivyo mtoa mada yuko sahihi to some extents.
 
Nini suluhisho mkuu?tusiwaoe tuwazalishe hukohuko bila kuishi pamoja?
 
Single mothers wako vizuri Sana wanapoingia kwenye ndoa.
Nikitaka kuoa nitaoa single mother no Watu wanaojielewa sana
 
Mwanaume anadil na maisha halisi,na hivyo ndivyo ilivyo.
 
Uzembe wa hali ya juu kivipi? Nauliza wakati mnakojoa huwa hamjui kama mnapanda mbegu na kwamba inaweza ikaota au isiote?
Suala la kujitunza ni la kila mtu si la mwanamke wala mwanaume. Kwahiyo kila mmoja anatakiwa awe makini na mwenzake hata kama yeye hajali. Mimi nikitembea na mwanamke nikapata UKIMWI, kosa ni langu na siyo la mwanamke kwasababu nilipasa kujitunza hivyo hivyo kwa mwanamke. Mahusiano yapo na kila mtu anaanzisha mahusiano kwa nia njema ila kuna wengine wanaanzisha kwa nia mbaya kwahiyo unatakiwa ujijali kwanza wewe.
Mwanamke kapata mimba lakini lawama zote anazipeleka kwa mwanaume kitu ambacho siyo sahihi. Unatakiwa ujilinde, na umchunguze mwenza wako kama ana nia ya dhati na wewe. Nazungumzia waliopata mimba kwa uzembe wao.
Unatembea na mume wa mtu au mwanaume asiyekuwa na nia na wewe lakini unaona ukibeba mimba atakupenda na matokeo yake anakuacha halafu unaanza kuwalaumu wanaume.
 
single mama wanao ongelewa sio wajane wala waume zao walienda jela ila ni wale ambao Walizaa na wapenzi zao then kutokana na sababu zisizo na kichwa wala miguuu eti wakaachana hao ndo SIO.

uKISHAZAA na mwanaume mi nadhani kwa wote (ke na me) hamtakiwi kuachana tena na tena Nyie pambaneni na chngamoto zenu zozote ztazokuja mbele yenu ila OPTION ya kuachana hapo isiwepo..nunianeni hata miaka ila NO KUACHANA for the sake of our kids.(neno langu sio sheria)
 
Nini suluhisho mkuu?tusiwaoe tuwazalishe hukohuko bila kuishi pamoja?
No muoe tu Ila muwasupport kutimiza ndoto zao,manake nao wana ndoto zao ambazo mkiwork together mnaweza fika mbali
Tatizo hapa ni ubinafsi wa wanaume pindi waoapo,mtu anaona kama amenunua mtu,anammiliki kama robot anachoamua mume ama kuwaza ndio anaona sahihi
Marriage is all about kukamilishana and not one person kummiliki mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…