Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

7800 is back on the pitch
 
Nimesisitizwa sana nioe under 20, eti vina heshima, nikikioa kitakuwa kinanisikiliza sana
 
Za 20 tamu zinabana na chuchu zimesimama pia wepesi kuwafikisha kileleni wanalia kwa utamu sauti nyororo hawalalamiki kibamia hata Kama kweli nnacho...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That's according to your own thoughts and not according to the reality you need to step out of that world you are living in and come to the real world
Then your reality about me not my reality, your presuppositions about me not my thoughts! You are bit dim who's tryna so hard to know me. Keep yo ass in gear one day you wil
 
Kinachosumbua vichwa vya watu hapa ni dhana ya kugongewa,ifahamike kuwa mwanamke hata kama sio single mother anaweza kugongwa nje ya ndoa pia.
Kuhusu kulea mtoto hayo ni mapenzi yako wewe nina ushuda wa watu watatu ambao wameoa single mothers na wakaweka sheria mbele ya baba na mama wa binti kuwa hawataishi na mtoto(mjukuu wao) na wakaomba mtoto akae nao,mpka leo hii ninavyozungumza ndoa zao ziko vizuri na watoto wa hao single mothers wanaishi na bibi zao.
Pia naomba ifahamike kuwa ndoa haina kanuni kwamba nikifanya hivi itakuwa poa zaidi,ndoa ni zaidi ya haya tunayoyafikiri.Unaweza kuoa single mother na ndoa yako ikawa na amani sana na unaweza kuowa bikra na ndoa yako ikawa chungu na mpka ikapelekea kuachana.Wapo walio oa bikra lakini ndoa zao hazikudum,hii ina maanisha kuwa marriage has no formula.
Pia wapo ambao sio single mothers lakini wametoa mimba zaidi ya mara moja mimi huwa nawaita mama wa marehem,kutoa mimba kunaweza kupelekea binti asizae tena inategemea na jinsi alivyoitoa,kama mtoaji aliharibu mji wa mimba(endometrium) huyo binti hawezi kupata mimba tena,sasa wewe ukimwoa utajua umepata binti ambae hajazalia nyumbani kumbe umeruka mkojo ukaenda kukanyaga mavi.
Ushauri ni kwamba usioe kwakuangalia huyu ni single mother au sio single mother badala yake oa kwakuangalia je huyu tunaendana na ndoa haitakuwa na vurugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…