Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hivi mtu mwenye mtoto lakini hajaolewa kumwita single mother ni sahihi kweli? Kwa nini asiitwe single parent?
Mi mwenyewe nimewazaaa, nikasema labda kingereza sikijui! si unajua kimekuja na meli, ila kweli naona wanaitwa single parent kama sijakosea.
 
Hawezi sema labda umkere hasa aropokwe
The what's the point ya ww kusema umuulize chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano ya baba wa mtoto wake?
Nadhan if u love someone t doesn't matter ana mtoto au hana what matters is the way he/she treats u
 
The what's the point ya ww kusema umuulize chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano ya baba wa mtoto wake?
Nadhan if u love someone t doesn't matter ana mtoto au hana what matters is the way he/she treats u
Sawa mkuu nimeelewa
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
aise nikishajua umezalishwa hata nyege hazipandi kwa kweli..kabisaa yaan alikojolea huko mtu na mtoto juu nikuoe??never happen
 
aise nikishajua umezalishwa hata nyege hazipandi kwa kweli..kabisaa yaan alikojolea huko mtu na mtoto juu nikuoe??never happen
Hata Mimi tena nikidate na single mother huwa sirudiagi Mara mbili
 
aise nikishajua umezalishwa hata nyege hazipandi kwa kweli..kabisaa yaan alikojolea huko mtu na mtoto juu nikuoe??never happen
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ile kitu inatema visivyotumika kuwa na amani
 
Hi mada kuna watu inawakosesha Amani kabisa cc miss chagga
 
huwezi kukosa wa kuoa lkn ni bora kuanza fresh with no string attached.
 
Mi sikushaur uoe single mother hata kidogo nachojua mimi kama mwanaume mwenzako alikimbia we ndo una unaponea hapo
Any way kama umejiandaa kwa lolote ikiwa pamoja na kuchapiwa we oa tu

Kuna single mother mi nilitaka kumuoa ila kuna tabia zilianza kunishinda siku moja nampigia cm ananiambia yupo na mzazi mwenza kwao sikujua kilichoendelea kuja kumuuliza hakunambia chochote zaidi ya kunambia alikuja kumsalimia mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom