Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Nimekujibu ulichoandika, au hukijui? Unasema tuache kuwatahadharisha wanaoibiwa bali tujikite kuwapigia kelele wezi.
 
Mbona umeshikilia kwamba mwanamke ndiyo anapata madhara kuliko mwanaume?? Hivi wewe ukiwaambia hao wanaume waache kutongoza na kuzalisha wanawake hovyo unapungukiwa nini utakuwa umeongea uongo au??
Nimeshasema, wote waache zinaa, chastity ndio muhimu. Nimeliongelea uko nyuma
 
Swala la kwamba mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa halibadilishi ukweli kwamba makosa ya kuzaa bila ndoa ni ya wote wanaume na wanawake
Makosa ni ya wote,lakini mwanmke ana disadvantage kubwa, kubali ama kataa huo ndio ukweli. Inachukua juhudi za mkuu wa mkoa kujaribu kuwafariji wamama wakati waliowazalia wannadunda mitaani. Tatizo ndio liko hapo usipofanya chastity
 
Mbona umeshikilia kwamba mwanamke ndiyo anapata madhara kuliko mwanaume?? Hivi wewe ukiwaambia hao wanaume waache kutongoza na kuzalisha wanawake hovyo unapungukiwa nini utakuwa umeongea uongo au??
Afu jiulize kwa nini mkuu wa mkoa ameshikilia kuwasaidia wamama waliozalishwa wakatelekezwa na sio wanaume
 
Hapo mwisho ungesema tu.... "Na mwanaume aliyezalisha".... Mambo yangekuwa moroorooo....
 
Ndio nimeshasema hilo, hoja haikuwa kuzaa nje ya ndoa. Rudia kusoma mada, hoja ni single mothers
 
Hapo mwisho ungesema tu.... "Na mwanaume aliyezalisha".... Mambo yangekuwa moroorooo....
Kwamba na mwanamume naye ni dalili mbaya? Basi sawa, tufanye hivi, wanawake msiolewe na wanaume wenye watoto nje ya ndoa. Hiyo ni mada nyingine kabisa mbali na hii, hapa tunaongelea single mother. Subiri hiyo itakuja, tatizo mmeweka hisia hasi kwa kilichoandikwa bila kujua kusudio.
 
Makosa ni ya wote,lakini mwanmke ana disadvantage kubwa, kubali ama kataa huo ndio ukweli. Inachukua juhudi za mkuu wa mkoa kujaribu kuwafariji wamama wakati waliowazalia wannadunda mitaani. Tatizo ndio liko hapo usipofanya chastity
Mi na wewe inabidi tuunge nguvu zetu pamoja sasa... Kupunguza hiyo sehemu ya maumivu na mzigo jamii inayotupa kwa mwanamke.. Wote wanaume na wanawake wacheze sawa..
Upo mzee kaka... Mimba haingii kwa bluetooth...
 
100% Huyu kuna single mama kamnyoosha hasaa akaona aje kutuandikia magazeti humuu[emoji23][emoji23][emoji23] Inabdi aitishe seminar kabisa aelezee machungu yake.
Daah naona unatafuta likes za kina dada na kukubalika sjui ni chakula hicho [emoji848]
Mkuu Nyerere ametoa Mada kwa hyo kile alichoandika mtu mara nyingi ndo kimemkuta? Alikwambia amenyooshwa na single mother?

Kama hajasema hvyo mwenyewe naona Mada imekushinda unatumia defense mechanism kwa mkuu nyerere
 
Usijifanye hauielewi hoja niliyokuwa naielezea tangu mwanzo yaani ni wazi kuwa wewe una ubongo kama wa kuku nimetoka kukuelezea kule juu sababu ya mimi kukupinga na ukanijibu ila saa hizi unaongea tena yale yale uliyoyaongea mwanzo ambayo yalifanya nielezee sababu kwanini nakupinga yaani unafanya makusudi kunirudisha nyuma nikae naongelea kitu kimoja tu

Labda nikwambie hiyo jamii haijawahi kuwepo na wala haitakuja kuwepo hadi siku wanaume mtakapoukubali ukweli kwamba kila jinsia inatakiwa kujirekebisha kwa nafasi yake na hicho ni kitu ambacho hakiwezekani kwa sababu wanaume mnajikuta mmeumbiwa ufahari wa kutokukubali makosa na kutupa lawama zote kwa wanawake

Hata wanawake wote wakisema wajitunze kama bado wanaume watakuwa na mawazo kwamba wao kutongoza na kuzalisha hovyo siyo kosa na hawatakiwi kuonywa kwa sababu hawapati madhara basi wataendelea tu kutongoza na kuzalisha hovyo hivyo kuwafanya wanawake waingie kwenye vishawishi na kurudi kule kule kwenye jamii mbovu sasa mnapofeli ni kudhani kuwa wanawake ni malaika kwamba wataweza kukwepa vishawishi vyote vya wanaume

Maana hata wezi nao hata kama kila mtu akitunza vitu vyake lazima tu watatafuta mbinu nyingine za kuiba kama wasipodhibitiwa sasa kwa vile wanaume ndiyo huwa hamtaki kukubali ukweli mchungu mnataka kuambiwa yale mnayopenda kuyasikia basi ni lazima tu tutaendelea kuwa na jamii ya aina hii ila wewe kama kweli unalenga jamii ibadilike ongea ukweli ila kama unaandika kwa kujifurahisha tu na unajua kuwa hiyo jamii haitakuja kuwepo basi endelea na huo unafiki tu
Yaani umehama kwenye hoja kwa personal grievances. Hiyo jamii haipo,,ila maonyo yataendelea kuwepo na kweli itasemwa hata kama hampendi kuisikia. Kama unaonakuzaa hovyo ni sifa, its up to you lady.
 
Tumalize hili kwanza 'Babaa...'
 
That is just as simple as me saying the same to you!!

Hata mimi naweza nikakwambia hivyo na nikajiona niko sahihi kwa upande wangu lakini je kusema hivyo ndiyo kutabadilisha ukweli??
Kuna kitu kinakula, dhamira yako inakushitaki, simple psychology.
 
Mi na wewe inabidi tuunge nguvu zetu pamoja sasa... Kupunguza hiyo sehemu ya maumivu na mzigo jamii inayotipa kwa mwanamke.. Wote wanaume na wanawake wacheze sawa..
Upo mzee kaka... Mimba haingii kwa bluetooth...
[/URL]

Soma hiyo, kila mtu anapewa kwa nafasi yake. Kuweka huruma kwa kukwepa ukweli ni kuangamiza kizazi, mimi siko hivyo. Ukweli utatuweka huru, sio kudanganyana kwa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Ni ngumu kusema wanaume na wanawake wacheze sawa, mwanamke ni mwanamke na mwanamume ni mwanamume
 
Anakurudisha tena nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Nyenyere,twende mbele brother,tusirudishane nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani jamaa ananishambulia binafsi badala ya kujadili mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…