Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Mkuu unaandika vitu hatari sanaI don't care umenionaje, wala sihitaji nikufurahishe, mimi nasema ukweli vijana wafunguke macho, mabinti kwa wavulana. Kama nimekuudhi halikuwa lengo langu, ila jamii imepaswa kubadilika. Ikimbieni zinaa.
Hata makanisani dhambi siku hizi hazikemewi kwa lengo la kuhifadhi waumini, so nikisema mimi sishangai ukanichukia. Biblia imekataza kuoa wanawake waasherati, achia mbali walioleta ushahidi wa watoto. So its up to you my lady.
Mwanamke anayeweza kuolewa kwa amani kabisa kama kijana kaamua hivyo ni mjane. Na ninyi mnaowaita wajane ma single lady mnakosea sana, hawa ni wanawake wenye heshima zao, wameunganishwa na familia tayari kumzalia Mungu matunda. Mume akifa hawa wamekuwa chini ya uangalozi wa familia ya mume, kwani ni wamoja.
Kama mwanamke mjane akiolewa ni sahihi katika ulimwengu wa roho kwa sababu ile nafsi iliyofanya kiapo naye haipo tena duniani. Kumbuka ule mfano wa mtu aliyeolewa na wanaume saba, wote walitajwa kwa condition moja tu, alipokufa huyu aliolewa na yule. Kifo, kifo, kifo!! Until death do us apart!! Sio njemba bado ipo inakula oxygen halafu unajidai kuoa mke mwenye mkataba wa kiroho na njemba hiyo. Now this is spiritual in a nutshell.
Tatizo watu ni wabishi sana, Hahahahaha!