Yawezekana kabisa Sio wote wana matatizo ndio but mind you in statistics a representative sampling suffices Na huo ndio ukweli, ukioa mwanamke asiyekuwa na bikra tu unahesabika umeoa mke wa mtu kiimani na hata kijamii pia sembuse single mother ambaye tayari ana muunganisho usiojificha wa usiofutika na bwana yake. Pia mleta mada hajazuia watu wasio single mothers bali alichofanya ni kama kutoa taadhari hivyo utaamua mwenyewe kama ushauri wake unafaa au haufai Sasa huu mtazamo wako hapa sio mahala peke ungesubiri au ungetafuta mada inayo fit na huo mtazamo wako ukachangia ingeleta maana, ukiuleta hapa kwenye mada hii utakuwa unafanya contextual derailment. Ukilazimisha kuuleta hapa sana sana tutakuona wewe ni single mothers sympathizer na unajaribu kufanya justification ya maovu yao na huna lingine Nafikiri kwenye mjadala kama huu hapakuwa na umuhimu wa kuleta blah..blah za ulinganisho na zinginezo, ulichopaswa kufanya hapa ni kuchangia mada bila kutoka nje ya mantiki ya mada yenyewe, habari za kuuhusishanisha hii mada na nyingine ambayo hazipo hapa ni dalili za kutokuwa na hoja yenye mashiko yaliyo sawia na mada husika, mbona kuna walipigana na hii mada bila kutoka nje ya mantiki kabisa, wewe una kwama wapi?
Dude hapa hatuko jukwaa la elimu wala la lugha, halafu sioni kama lengo lako ilikuwa ni kuja hapa hili ufundishwe namna ya kujadili mada. Hii haiwezi kuwa serious hata kidogo.