Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sanaa.. Wanaandamwa mnoo...
Mbaya zaidi kwa Mtazamo wa jamaa ...' Mwanaume hakosei '

Damn.

Thats very bad. Very bad.

Labda jamaa hajajichanganya na jamii ...au anaishi maisha ya five starss...kiasi kwamba hajui Vile wanaume wanarubuni mabinti wadogo kabisa na vile wanavyotumia umasikini au mazingira yao magumu kuwaharibia maisha.

Bado namtafakari.

Naishi kwenye jamii ya kawaida kabisa. Naweza kukukaribisha kwangu pia ukitaka unichunguze vizuri. Sema mimi sina tabia ya kujipendekeza, kwenye ukweli nasema watu waumie kisha wapone.

Kurubuni mabinti wadogo, wazazi wako wapi kuwalinda? Jamii iko wapi? Kuna kosa kubwa tunalofanya wazazi kuhusu watoto wetu, nitalisema siku nyingine. Lakini hilo haliondoi ukweli.

Ndoa sio taasisi ya huruma, kuna kanuni zake.
 
Hujui ulinenalo, sheria ya karma kwangu ni witchcraft. So usiniletee uchawi wa kihindi hapa. Pia unadhani hilo li karma lako litakuja kwa sababu nimesema uasherati na mapenzi nje ya ndoa ni mabaya? Una matatizo wewe
Brother kumbe na wewe huwa unachukia hivi sometimes!???
 
Huu ni ukweli kwa asilimia nyingi (sio zote), ni vile tu single moms huwa inawachoma sana.
Na hata hivyo si vyema sana kuwahukumu kila siku wakati jambo liliishatokea.
Hapa ni wasichana ambao bado hajaolewa na hawana watoto ndio wajifunze kuwa kukubali kuzaliswa kabla ya ndoa ni kujilipua maana unaweza ukaacha na mwanaume na mwanaume huyo huyo akaja kuanza kusema hawezi kuoa single mom wakati na yeye ana mtoto tayari.

Bora mwanamke awe single mom lakini alizalia ndani ya ndoa, ila majanga tu yatatokea akabaki single tena. Huyo ana la kujitetea.
 
Kumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
Kwa Mungu kugumu, so umehamia kwa atheist. Feminist na Biblia wapi na wapi
 
Huu ni ukweli kwa asilimia nyingi (sio zote), ni vile tu single moms huwa inawachoma sana.
Na hata hivyo si vyema sana kuwahukumu kila siku wakati jambo liliishatokea.
Hapa ni wasichana ambao bado hajaolewa na hawana watoto ndio wajifunze kuwa kukubali kuzaliswa kabla ya ndoa ni kujilipua maana unaweza ukaacha na mwanaume na mwanaume huyo huyo akaja kuanza kusema hawezi kuoa single mom wakati na yeye ana mtoto tayari.

Bora mwanamke awe single mom lakini alizalia ndani ya ndoa, ila majanga tu yatatokea akabaki single tena. Huyo ana la kujitetea.
Nilisema nitaandika kwa habari ya waliozaa kwenye ndoa(hawa sio single mom, ni wajane). Ngoja niiweke sasa hapa chini.
 
[emoji1787][emoji1787]
Aiseee..hivi brother hujachoka tu!??
Nimelala nimeamka mechi inaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkalale Sasa jamani..hatutaki kufika comments 1000 mambo yaleyale..
Mbona Heaven Sent alishatoa conclusion kule juu
 
Una upeo ufinyu, itoshe tu kusema hivyo. Endelea kuoitia threads nyingine, hii imekuzidi kimo, bye.
Yani Bogus kabisaa... Acha Unafiki ishi maisha halisi sio kukaa nyuma ya Keybod unaandika Utumbo hapaa kujidai Unajua kushauri..!! Anza kushauri hao waliooa Dada zako na ndugu zako wa kike malaya as u said ambao waliamua kuanza uzinzi mapemaa... Hao wengine walikuwa wanakulea lea unaongea Utumbooo!! Next time jifunze kuongea maisha halisi sio hadithi za abunuasi.
 
Nini kimekukwaza mkuu? Badala ya kujadili hoja unajadili mtu. Wenye ufahamu wameelewa maana, kwani kauli kama hizi zinaleta signals fulani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wewe huoni kosa lako bado au??? Kama vile ambavyo wewe hukuweza kuingilia ndoa za hao masingle mama wa kwenu bhasi hivyo ndivyo Wengine tunaheshimu maamuzi ya wengine na Kuacha kiherehere cha kujidai tunajua sana na kuanza kuingilia Mahusiano ya watu wengine. Kama single mama alikushinda wewe tulia mzee baba huna haja ya kuwachukia Wadada wengine waliopata ujau uzito wakiwa nyumbani na kuanza Kupreach kuwa ni Malaya na wazinzi ukasahau hata ukoo wenu wamejaa hao unaoona ni wazinzi. Kawahubirie Huo utumbo ndugu zako kwanza ndo uje kushupaza shingo hapa.
 
1. Hapa siongelei "dhambi" bali jamii na maadili. Ukitaka niongelee dhambi, basi nimeshasema hilo linasameheka
lakini damage done.

2. Jamii za koafrika ambazo hazijastaarabika!! Nikushauri tu ujijengee utamaduni wa kufuatilia kinachoendelwa huko duniani. Kama unataka nikuwekee mabandiko ya maoni ya hao waliostaarabika kama hutotoa machozi. Kinachoendelea Afrika ni ulimbukeni na kudandia mila zisizotuhusu, tukijidanganya ndio ustaarabu. Bikira sio mitazamo ya kijamii, niuhalisia across the board!!

3. Maandiko yanasema anayepata madhara asiolewe
Maandiko ya Ukoo wenu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Episode nyingine tunamuingiza rikiboy upande wenu anaingia brother Relief Mirzska..[emoji3][emoji3]
Hapa Moja kwa moja tushashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ni bwegr tu kujikuta anajua kushauri hapa huku anawatoa kasoro na kuwatukana wadada wa watu...!![emoji23][emoji23][emoji23] Akati kwenye ukoo wake wamejaa kibao hajawai waambia hata kupitia Group la ukoo akwende huko Mtu mnafiki Muogope sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom