Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Yeye anakwambia eti kwa vile mwanamke anapata madhara ila mwanaume hapati madhara basi hana makosa yaani yeye anaamini anayepata madhara ndiyo mwenye makosa na anapaswa kuonywa ila asiyepata madhara hana makosa na hapaswi kuonywa
Sanaa.. Wanaandamwa mnoo...
Mbaya zaidi kwa Mtazamo wa jamaa ...' Mwanaume hakosei '

Damn.

Thats very bad. Very bad.

Labda jamaa hajajichanganya na jamii ...au anaishi maisha ya five starss...kiasi kwamba hajui Vile wanaume wanarubuni mabinti wadogo kabisa na vile wanavyotumia umasikini au mazingira yao magumu kuwaharibia maisha.

Bado namtafakari.
 
Inategemea na Mwanaume.
Mtu asiyependa kuambiwa ukweli hajiamini. Ni mtu asiyependa kubadilika. Ni mtu ajionaye Mungu mtu yaani hakosei.

Hao wanaume wa hivyo ndio hao wapumbavu wanaoshindwa kumwambia ukweli mwanamke kama alimkuta hovyo.

Ni sawa na mwanaume asiye na pesa akatae kuambiwa ukweli ni Mke wake kuwa hana hela. Huko ni kutokujiamini.
Haya
 
Wanaume wanaumia sana,tena sana Kuliko wanawake...Believe me...
ujuaji na kujihesabia haki kunawaponza sana

Mfano tu:Ushawahi ona nyuzi humu wanawake wakilalama kwa kuhusu single fathers ama kwa nini wanaume hawaoi?..

Ila nini kinawauma kwa jinsia ya pili?,,siku zote wanaume ndo wanapata tabu na wanawake

Mentality walizojiwekea kichwani hazi'work hivyo wana uchungu sana
Yes Exactly
 
Kumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
Hawa wengine wanaamini Mungu ni mwanamme kama wao na hivyo wanawake ni viumbe dhaifu tu.

Nisiyeamini habari za Mungu sina bias hiyo.
 
Kuoa ni kubeti tu.

Mkeka unaweza ukachanika hata kwa timu uliyoiamini asilimia 100
 
Why hukuwaambia na kuwashauri wanaowaoa kuwa wanakosea Njiaa wawache wakatafute Wanawake wengine..??? Kama sio unafiki ni nini??? Unakuja kuharibu mind za vijana waliopendana na kuwa na Plana na single mama wao wewe unaharibuu akili zaoo..
Una upeo ufinyu, itoshe tu kusema hivyo. Endelea kuoitia threads nyingine, hii imekuzidi kimo, bye.
 
Huyu jamaa atakua haamini kama dunia ni duara..

Lakini pia atakua haamini katika sheria ya KARMA....

hili aliloliandika si mda linaenda tokea ktk familia yake...
Hujui ulinenalo, sheria ya karma kwangu ni witchcraft. So usiniletee uchawi wa kihindi hapa. Pia unadhani hilo li karma lako litakuja kwa sababu nimesema uasherati na mapenzi nje ya ndoa ni mabaya? Una matatizo wewe
 
Ni mnafikiii sanaa huyu jamaa... Anajikuta mshauri mzuri hapa Jf lakini huko kwenye familia yake hawezi simamia hayaa... Nyuma ya keybod anashupaza shingo balaa...!!
Nini kimekukwaza mkuu? Badala ya kujadili hoja unajadili mtu. Wenye ufahamu wameelewa maana, kwani kauli kama hizi zinaleta signals fulani.
 
From your perception Mkuu. ... How you perceive single moms...
Wewe ndo umejipa sifa hizo..

Change. You have sisters somewhere! You never know.
Fine, we do not need to agree on everything, that's thinking. Mimi kuwa na madada haiondoi ukweli. Pia kuongelea kuwa I have sisters haihusiani na mada. The topic is well thought na wanaoweza kuipokea ni wenye kujaa kwelo ndani yao, hawa watakuwa critics wazuri. Wale wa kusema: una dada, una ndugu, una watoto, utapata karma n.k. ni weak spicies. Wanaendeshwa na emotions kuliko uhalisia.

By the way, kama una mpango wa kuoa mwanamke wa namna hii, uzi huu unakuzuia vipi?
 
Kumbe atheists kwenye haya maswala mnakuwaga na hoja kiasi hiki?? Ningesema Mungu akubariki ila kwa vile hauamini kuwa Mungu yupo basi niseme tu hongera kwa kujielewa na kusimamia ukweli kwenye haya maswala kuliko hata baadhi ya wanaume ambao wanaamini Mungu yupo maana ni wanafiki sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom