Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Acha tuendelee wataelewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuendelee wataelewa tu
Kweli wewe ni Mlevi mmoja.. Nenda kaangalie profile yangu ina likes ngapi angalia na yako[emoji23][emoji23] Kijana acha ulevi hapa tunaelimishana kuacha Mitazamo Hasi juu masingle mother kosa la mwanamke na mwanaume lakini mzigo wote wa dhambi anabebeshwa mwanamke hizo zama za Kuwakandamiza wanawake zimepitwa..!! Usikute kwenye familia yenu pia Kuna single mother.Daah naona unatafuta likes za kina dada na kukubalika sjui ni chakula hicho [emoji848]
Mkuu Nyerere ametoa Mada kwa hyo kile alichoandika mtu mara nyingi ndo kimemkuta? Alikwambia amenyooshwa na single mother?
Kama hajasema hvyo mwenyewe naona Mada imekushinda unatumia defense mechanism kwa mkuu nyerere
Kwa hiyo tunaanza kudhibiti wezi kwanza ndio tunatunza mali au tunatunza mali huku tukidhibiti wezi? Mnakosa maarifa madogo tu, itoshe kusema basi acheni milango wazi kwa sababu tutadhibiti wezi. Jiwekeni kikahaba kwa sababu tutadhibiti wanaume wasiwatongozeAnakurudisha tena nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Nyenyere,twende mbele tusirudishane nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya nini nije kubishana wakati nina ukweli ninaoujua na msimamo nliojiwekea???Episode nyingine tunamuingiza rikiboy upande wenu anaingia brother Relief Mirzska..[emoji3][emoji3]
Hapa Moja kwa moja tushashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu em nikuache kidogo utembee nao...washaelewa ila wanajikuta Van Damme..in 'No retreat No surrender'...Kweli wewe ni Mlevi mmoja.. Nenda kaangalie profile yangu ina likes ngapi angalia na yako[emoji23][emoji23] Kijana acha ulevi hapa tunaelimishana kuacha Mitazamo Hasi juu masingle mother kosa la mwanamke na mwanaume lakini mzigo wote wa dhambi anabebeshwa mwanamke hizo zama za Kuwakandamiza wanawake zimepitwa..!! Usikute kwenye familia yenu pia Kuna single mother.
Biblia inasemaje kwani: mume mwema anatoka kwa Bwana au mke mwema anatoka kwa Bwana?
Uweke hapa tujifunze brotherYa nini nije kubishana wakati nina ukweli ninaoujua na msimamo nliojiwekea???
Ni sawa na jambazi ambaye hajashikwa na amefaulu kuwekeza kwenye biashara kubwa, hizo zinaitwa rare cases. Sihitaji kuzijadili kwani hoja ni too low.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli wewe ni Mlevi mmoja.. Nenda kaangalie profile yangu ina likes ngapi angalia na yako[emoji23][emoji23] Kijana acha ulevi hapa tunaelimishana kuacha Mitazamo Hasi juu masingle mother kosa la mwanamke na mwanaume lakini mzigo wote wa dhambi anabebeshwa mwanamke hizo zama za Kuwakandamiza wanawake zimepitwa..!! Usikute kwenye familia yenu pia Kuna single mother.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo tunaanza kudhibiti wezi kwanza ndio tunatunza mali au tunatunza mali huku tukidhibiti wezi? Mnakosa maarifa madogo tu, itoshe kusema basi acheni milango wazi kwa sababu tutadhibiti wezi. Jiwekeni kikahaba kwa sababu tutadhibiti wanaume wasiwatongoze
Lizarazu ndio van dame wa kwanza[emoji23][emoji23]Mkuu em nikuache kidogo utembee nao...washaelewa ila wanajikuta Van Damme..in 'No retreat No surrender'...
Nyooka nao.
Nimekubali kwa kukupatia njia upite. Mwanamke simama kwenye nafasi yako.
Kwahiyo hapo mwanaume anakuwa hajafanya makosa anakuwa yuko sahihi kabisa??Akitaka, kuzaa nje ya ndoa maana yake mwanamume hana malengo na mwanamke huyo, ama hajafikia maamuzi ya kumheshimisha kwa kumuoa.
Mabandiko yangu hayatafuti kupata dada, yanatafuta kuweka wazi iliyo kweli. So pongezaneni kwa kuugulia uchungu.
Wewe unadhani kila ndoa iliyodumu imefuata hizo kanuni unazozijua wewe?? Na kwahiyo wazazi wanatakiwa wawalee vizuri watoto wa kike tu ila watoto wa kiume walelewe vibaya ili waje kurubuni watu siyo??Naishi kwenye jamii ya kawaida kabisa. Naweza kukukaribisha kwangu pia ukitaka unichunguze vizuri. Sema mimi sina tabia ya kujipendekeza, kwenye ukweli nasema watu waumie kisha wapone.
Kurubuni mabinti wadogo, wazazi wako wapi kuwalinda? Jamii iko wapi? Kuna kosa kubwa tunalofanya wazazi kuhusu watoto wetu, nitalisema siku nyingine. Lakini hilo haliondoi ukweli.
Ndoa sio taasisi ya huruma, kuna kanuni zake.
Umeamua kuvunja ukimya mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Mdogo wangu, mimi nlishaachana kujibizana na wewe kwa sababu ya hoja zisizo na mashiko kama hizi.Oohh kwahiyo sasa utajuaje kama mwanamke alipata mimba kwa sababu ya kubakwa je kama alipewa mimba na mwanaume ila akatelekezwa?? Si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa??
Hivi kumbe na wewe umewahi kubishana!?Mdogo wangu, mimi nlishaachana kujibizana na wewe kwa sababu ya hoja zisizo na mashiko kama hizi.
Sawa in a way unajaribu kutetea jinsia yako na kuielimisha jamii juu ya kuwaheshimu na kuwatendea haki wanawake but you overstep na kujikuta unatetea hata upuuzi.
Mbona Nyenyere alishazitoa exceptions zote juu ya hili suala??
Whatever you are doing, nadhani unaishusha hadhi yako kwa mabishano ambayo ukweli wake unajulikana. Mimi nadhani you gotta call black, black and white, white.
Kila la kheri!