Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

salama wakuu,
nimekuwa nikiona watu wakiwacheka singo mama na vibamia. bila kujua sie wakosa ajira (mbaya zaidi mtaani ndo ulijifanya john kisomo), tuna msongo wa mawazo si kidogo.

umejipinda kukariri K.K.S mpaka ukafaulu ila matokeo yake ni kuonekana kama mzigo kwenye familia na jamii kwa ujumla.

unaamua kujiongeza ujiajili napo mziki mnene wa soggy doggy (mazingira magumu)unakutoa mbio.

kuna watu watakwambia kajiajili, waulize dr lutegwe aliye hamasisha kilimo cha miembe kwa vijana wasio na ajira. alipo fukuzwa alikumbuka kilimo icho ama aliishia kulia kama nyau mbele ya waandishi asamehewe.

mateso tunayopata ni ya kujitakia (kusoma kwa kudhani ajira zipo) kama singo mama kutega mimba akijua kuna ndoa.
 
Hahaha pole mkuu...Pambana tu...hata Single mother na yeye anaamini ataolewa siku moja tu
 
kuna watu watakwambia kajiajili, waulize dr lutegwe aliye hamasisha kilimo cha miembe kwa vijana wasio na ajira. alipo fukuzwa alikumbuka kilimo icho ama aliishia kulia kama nyau mbele ya waandishi asamehewe.
huyo dr lutegwe alikuwa ameajiriwa wapi mkuu?
 
huyo dr lutegwe alikuwa ameajiriwa wapi mkuu?
alikuwa mkuu wa mkoa katavi akahamishiwa morogoro akashindwa tatua mgogoro wa wakulima na wafugaji ile kuambiwa apishe nafasi alilia kama mtoto huwezi amini kama ana Phd
 
alikuwa mkuu wa mkoa katavi akahamishiwa morogoro akashindwa tatua mgogoro wa wakulima na wafugaji ile kuambiwa apishe nafasi alilia kama mtoto huwezi amini kama ana Phd
hawa ndio zao kutoa ushauri ambao ni rahisi kuongea tu ila kivitendo hautekelezeki. Aibu kubwa sana yaani Phd mzima uwezo wake wa kufikiri unaishia kwenye kuajiriwa tu bila kuajiriwa anaona atakufa 🙂
 
hawa ndio zao kutoa ushauri ambao ni rahisi kuongea tu ila kivitendo hautekelezeki. Aibu kubwa sana yaani Phd mzima uwezo wake wa kufikiri unaishia kwenye kuajiriwa tu bila kuajiriwa anaona atakufa 🙂
tafuta video yake youtube utacheka, ila wakiwa na vyeo vya kisiasa wanaongea kwa kujiamini kama vile wao wamejiajili
 
Tatizo babako alikudanganya kusoma uondoe bugudha nyumbani, waliofanikiwa kimaisha wameishia darasa la nne, ona bhakresa, peak hotel, manji, abood, dar express, wote hao hawakumaliza la saba na leo matajiri,

umri wa kupata mali ni miaka 21, ukianza kusaka maisha na miaka 27 kudadadeki imekula kwako,
 
Kudhani shida zako zimeletwa na ccm ni upumbavu, hebu hamia arusha au hai uone kama zitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…