Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
Dah basi mimi nimependa Doto kwako nitakuwa kipofu [emoji41]Huyo ni kulwa na Mimi ni doto
Hivi huyu panthasajana ameingiaje kwenye mada?[emoji3]
Halafu nae eti anapata nguvu kabisa ya kukutishia na huyo panthaleo[emoji3][emoji3]Ndiyo hapo sasa utadhani yeye ndiye mwalimu anayeheshimika duniani kote mwenye elimu ya dunia na tuzo kama zote kumbe ni kamwalimu kamoja ka mtakuja primary school ndiyo kanatolewa mfano hapa
Pia unaposema ni instituition haiondoi principles zake. Hakuna instituion duniani isiyokuwa na kanuni na miiko.
kwaio tukuandalie medani kwa kazi yako 'nzuri'?Ni kweli kabisa mi nimezalisha watatu na nshaachana nao
Na siku yoyote nkiamua natafuna yeyote
Sasa mimi nataka kuandika maombi kwako.Yes and that's what matters na siyo macho ya wanadamu ambao siku zote they're unfair
Mkuu hiki unachokiona hapa sio cha kisikushangaze sana, ndivyo walivyo hawa, ndivyo namna ambavyo wanavyoshiriki mada, ndivyo uwezo wao wa kushiriki mijadala kama hii ulivyo, sidhani kama wanaweza kuchangia mada kwa namna nyingine tofauti na hapa.Mada ni single mother sio nje ya hap9
Unanikumbusha mada fulani kuhusu sheria kibadilila,kuna mmoja akawa anadai ya kuwa sheria hazibadiliko mimi nikamwambia zina badilika.Wewe Zurri acha kunichekesha
Hivi hili naloinahitaji maandiko.
Nimekuonyesha hapo mfano wa Adam..
Sitaki kukupa andiko jingine kama hili tu la uumbaji haulijui
Mimi ninakuomba ili tujenge taasisi ya famili na kulinda kizazi chetu,na omba yangu mimi ni tofauti na omba ya hao.Sawa unaweza usianzishe uzi au usijulikane lakini haibadilishi ukweli kuwa na wewe ni mmoja wa wale wanaume ambao unamuomba mwanamke ili akikupa uje kumdharau sasa mimi siwezi kumpa mwanaume ambaye najua atakuja kunidharau kwanza sinaga hata mazoea na wanaume wenye mitazamo hiyo yaani
Huyo mwalimu wako Panthaleo nina mashaka na elimu yake[emoji23][emoji23]
Agano jipya imesisitiza pia Mtu kuwa na mke mmoja.Unanikumbusha mada fulani kuhusu sheria kibadilila,kuna mmoja akawa anadai ya kuwa sheria hazibadiliko mimi nikamwambia zina badilika.
Adamu na Hawa walikuwa wawili tu,na sheria yao iliwahusu wao ndio maana hapakuwa na ndoa kama ziivyokuwa kwetu na utaratibu ule ulikuwa halali kulingana na hitajio.
Utaratibu mwingine ukaja,baada ya uzao wa kiba Haabil na Kaabil,watoto wa kiume wawili,unua hawa waliozeshwaje wake zao ? Naacha kiporo,tafuta majibu mwenyewe.
Narudi sasa katika hoja yako,hoja ya Adamu na Hawa haionyeshi ya kuwa mwanamke mmoja ni kwa mwanaume mmoja,sababu sheria yao ilikuwa tofauti na yetu,pili hoja yako inapingwa na mazingira bali na maandiko ya mitume walio pita na manabii.
Naona nyite mnafanana,na nimekuuliza maswali rahisi sana lakini unashindwa kujibu.Kujua Kama uongo au ukweli.
Hivi wewe umesoma 2 darasani ...umeambiwa hii Ni mbili na inaandikwa hivyo 2...anakuja kutudanganya mtu anakuambia mbili inaandikwa 3,,mbili Ni tatu[emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe brother huoni huo Ni ubakaji au bado una usingizi brother.
Kabisa huyuhuyu akawaambia ameshushiwa Qur'an na Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio uweke sasa hilo andiko,usilete maneno mengi.Agano jipya imesisitiza pia Mtu kuwa na mke mmoja.
Hii ya ndoa mmeibadilisha wewe na mtume wenu huyo Muhammed
Sio lazima.Siyo lazima!!
Je na ninyi ni lazima muombe kwani kinachoanza ni kipi kuomba au kupewa??
Mazoea gani!???Naona nyite mnafanana,na nimekuuliza maswali rahisi sana lakini unashindwa kujibu.
Nimekuuliza hivi unajuaje kama jambo fulani ni kweli na jambo fulani ni uongo ?
Kwako wewe unaona mazoea ndio kipimo cha ukweli sio ? Jibu swali langu.
Au nikupe maana ya ukweli na uongo,ili upate pa kuanzia ?
Matthew 19:4-6Ndio uweke sasa hilo andiko,usilete maneno mengi.
Naona umehamisha mada,huku unapoingia hakikisha umejipanga bibie,maana nitafunga milango ushindwe kutoka ? Unabisha ?Mazoea gani!???
Wewe ndio unashindwa kuelewa vitu vidogo Kama hivi vilivyo wazi kabisa.
Akawaambia kwamba muwe mnamtetea...ndio mtume wenu,,,,sijawahi ona mtume wa hovyo namna hii.
Ndiyo maana kwenye list ya wale mitume waliopo kwenye Biblia huyu mudi hayupo
Weka matini hapa,kama nifanyavyo mimi,tuokoe muda sote tuone.Matthew 19:4-6
Milango gani nishindwe kutoka!??.acha kuchekesha watu.Naona umehamisha mada,huku unapoingia hakikisha umejipanga bibie,maana nitafunga milango ushindwe kutoka ? Unabisha ?
Mimi nakuuliza maswali marahisi unatafuta huruma,hivi kweli ,mara ooh hivi unadhani ? Uandikaji hu huonyesha kwamba umeshindwa hoja unatafuta pa kutokea.
Naendelea kukusaidia,ubaya wa jambo na uzuri wa jambo huwa mnaujuaje ?
Maana kwenye uongo na ukweli naona umeshindwa.