Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

SI hapo kuwaambia muoe wake wanne..na wakati ndoa Ni ya mke na mume...mke Ni ubavu wa mume
Na adam ubavu wake ulimtoa Hawa (Eve)tu ..haukumtoa hawa na wenzie watatu.
Sasa jamaa hapa sijui aliwaaminisha vipi
Bado huna hoja,naona unalia lia tu.

Wapi katika biblia kunaonyesha ndoa ni ya mke mmoja ?

Nipe andiko.
 
Acha utoto sasa,hapa tunaongelea elimu,jambo kama huna elimu nalo uliza au kaa kimya.

Nimekuuliza hivi kubaka ni nini ?

Sasa mjukuu wake kivipi ? Wakati hana nasaba nae ?

Onyesha ubaya wa jambo hilo sio unalalamika.
Ubaya huuoni!?
Elimu gani hiyo aliyonayo muhamadi ya kuoa kitoto alichokizidi miaka zaidi ya 40.
Hio elimu au upupu!?
 
Huyo mwalimu wako Panthaleo nina mashaka na elimu yake[emoji23][emoji23]
Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.

Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
 
Bado huna hoja,naona unalia lia tu.

Wapi katika biblia kunaonyesha ndoa ni ya mke mmoja ?

Nipe andiko.
Wewe Zurri acha kunichekesha
Hivi hili naloinahitaji maandiko.
Nimekuonyesha hapo mfano wa Adam..
Sitaki kukupa andiko jingine kama hili tu la uumbaji haulijui
 
Kivipi?? Hivi wewe Lizarazu mfano hii mada hapa sisi tunaompinga huyu mtoa mada kuna watu wamesema sisi ni single mothers na wewe ukiwa mmojawapo siyo kwa sababu mnatujua hapana ila ni kwa sababu tumeipinga hii mada yaani

Imagine eti mtu kichwani mwake amejaza ujinga wa kwamba mada ikiwaponda vilema watakaowatetea vilema basi nao ni vilema ndicho mnachowaza wanaume wengi humu sasa sijui ni makusudi sijui ni kwamba mna ugonjwa wa kukariri tu au sijui shida ni nini yaani sasa watu kama ninyi tukisema mnaingilia maisha yetu na mnataka kutujua tutakuwa tumekosea??
Ndio nini hiki?

Kwa hiyo kumbe kuna framework ambayo natakiwa niifuate kwenye kila mjadala ninaoshiriki sio?
 
Sawa unaweza usianzishe uzi au usijulikane lakini haibadilishi ukweli kuwa na wewe ni mmoja wa wale wanaume ambao unamuomba mwanamke ili akikupa uje kumdharau sasa mimi siwezi kumpa mwanaume ambaye najua atakuja kunidharau kwanza sinaga hata mazoea na wanaume wenye mitazamo hiyo yaani
Mimi si tunamalizana huko huko kitaa. Kwanza huwa sipendi kujulikana.
 
Kujua Kama uongo au ukweli.
Hivi wewe umesoma 2 darasani ...umeambiwa hii Ni mbili na inaandikwa hivyo 2...anakuja kutudanganya mtu anakuambia mbili inaandikwa 3,,mbili Ni tatu[emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe brother huoni huo Ni ubakaji au bado una usingizi brother.
Kabisa huyuhuyu akawaambia ameshushiwa Qur'an na Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona ndio unionyeshe wewe sasa ametudanganya wapi ?

Wewe huwa unajuaje kama jambo fulani la kweli na jambo fulani la uongo ?
 
Back
Top Bottom