Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Kwani wewe umeelewaje?Kwa hiyo umeona ukimtahja huyo panthaleo sijui panthakesho utamuogopesha huyu dada!?
Panthaleo anaingiaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe umeelewaje?Kwa hiyo umeona ukimtahja huyo panthaleo sijui panthakesho utamuogopesha huyu dada!?
Panthaleo anaingiaje hapa?
Tatizo lipo kwa anaye elekezwa hayo.
Haelewi chochote
Direct this nonsensical question to where it basically belongs to.
Bado huna hoja,naona unalia lia tu.SI hapo kuwaambia muoe wake wanne..na wakati ndoa Ni ya mke na mume...mke Ni ubavu wa mume
Na adam ubavu wake ulimtoa Hawa (Eve)tu ..haukumtoa hawa na wenzie watatu.
Sasa jamaa hapa sijui aliwaaminisha vipi
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Huyo nimewaachieni ninyi mimi leo niko na wazee wa single mothers
Sasa suala la Mola si liko wazi bibie kwamba jambl hilo ni baya na anatuona ?
Ubaya huuoni!?Acha utoto sasa,hapa tunaongelea elimu,jambo kama huna elimu nalo uliza au kaa kimya.
Nimekuuliza hivi kubaka ni nini ?
Sasa mjukuu wake kivipi ? Wakati hana nasaba nae ?
Onyesha ubaya wa jambo hilo sio unalalamika.
Kwamba mimi natumia akili za chini ?
Unaleta vitisho vya panthasakesho ambaye hata kwenye mada hayupoKwani wewe umeelewaje?
Wacha tu tupoteze..Huyo ni mbishi wa asili mnapoteza muda tu hapo
Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.
Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
Mbombo ghafu...Mbombo Jilipo
Hivi huyu panthasajana ameingiaje kwenye mada?[emoji3]Huyo mwalimu wako Panthaleo nina mashaka na elimu yake[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endiwo
Wewe Zurri acha kunichekeshaBado huna hoja,naona unalia lia tu.
Wapi katika biblia kunaonyesha ndoa ni ya mke mmoja ?
Nipe andiko.
Ndio nini hiki?
Kwa hiyo kumbe kuna framework ambayo natakiwa niifuate kwenye kila mjadala ninaoshiriki sio?
na single mother anayelalama humu baadae naye anamkataza mtoto wake asioe single motherHiyo ni fact mkuu, na humu wanachachamaa, kuna kitu nyuma ya pazia
Mimi si tunamalizana huko huko kitaa. Kwanza huwa sipendi kujulikana.
Sijaona ndio unionyeshe wewe sasa ametudanganya wapi ?
Wewe huwa unajuaje kama jambo fulani la kweli na jambo fulani la uongo ?
Nakujibu kwa swali,kwani tukiomba lazima mtupe ?