Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Labda nikuulize swali kwahiyo wanaume siyo chanzo cha wanawake kuwa single mothers na wala hawahusiki kabisa?? Jibu ndiyo au hapana!!
 
Sitaki ndoa za mitala
Mimi ninakuomba ili tujenge taasisi ya famili na kulinda kizazi chetu,na omba yangu mimi ni tofauti na omba ya hao.

Unataka nikueleze vipi bibie unielewe ? Mimi hutajilaumu kabisa ukinikubalia.
 
Tukianza na uelewa wako tu wenyewe unaotia mashaka tele... Mimi binafsi sioni sababu ya kutohitimisha kwamba elimu uliopewa ni tia maji maji.
Hahahaha Lizarazu bwana kwani ukihitimisha wewe ndiyo inabadilisha ukweli??
 
Sio lazima.

Sasa fanya tathmini hapo lipi kubwa na lina uzito ? Kuomba na kupewa ?
Anayeomba ndiyo chanzo cha kila kitu hakuna effects bila causes haijalishi effects zitakuwaje ila siku zote tunatakiwa kudeal na causes kwanza
 
Sawa mzee easy
 
Sawa lakini na mwanaume naye si anakuwa hajitambui au yeye ndiyo anakuwa anajitambua??
Nani alikudanganya mwanamke lazima ugawe uchi wake? Mume haombi uchumba gesti. Ukiona hivyo ujue binti naye hajitambui
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Nimecheka eti tombina mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie watu wawili walahi mtakuja kunivunja mbavu zangu
 
Huo hapo soma
Nimeshausoma sijaona cha zaidi tofauti na mawazo yako yale yale ya kimisogynist kuna sehemu umesema "mwanaume kujilinganisha na mwanamke ni kujishusha hadhi" yaani kwamba uanamke hauna hadhi ila uanaume ndiyo una hadhi??

Sisemi mwanaume ajilinganishe na mwanamke lakini asifanye hivyo siyo kwa sababu eti jinsia fulani ndiyo ina hadhi kuliko nyingine bali kwa sababu yeye aliumbwa hivyo na anatakiwa awe hivyo ni sawa na kusema "tajiri asijifananishe na masikini anajishusha hadhi" kwamba tajiri ndiyo bora sana kuliko masikini siyo??

Na haya yote yanayoendelea kwenye jamii ni matokeo ya wanaume kuwadharau wanawake hakuna jinsia inayopenda kudharauliwa na mliambiwa mtutawale hamkuambiwa mtudharau sasa kama ndicho mlichoelewa kutoka kwa Mungu basi nina mashaka akili zenu yaani nashangaa eti wanaume wanawadharau wanawake kwa sababu ya maovu ambayo hata wanaume nao wanayafanya??

Yaani dhambi akiifanya mwanaume ni sawa ila akiifanya mwanamke ni kosa eti kwa sababu tu mwanaume hapotezi ila mwanamke anapoteza msilazimishe tofauti kwenye kila kitu dhambi ni dhambi tu haijalishi kaifanya mwanaume au mwanamke iko hivi kama ambavyo mnaona ni sawa kuwa na wanaume wazuri na wabaya basi pia acheni iwe sawa kuwa na wanawake wazuri na wabaya dunia ndivyo ilivyo ili ibalance lazima kila kitu kiwe na kinyume chake sasa ninyi mnataka kwa wanaume kuwe na wazuri na wabaya ila kwa wanawake kuwe na wazuri tu hata kwa kutumia akili ya kawaida inawezekana kweli hiyo??
 
Na kwanini jamii itengeneze stigma hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…