Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Khaa masikini kumbe unadhani mimi ni mtoto ndiyo maana unanidharau?? Kwa taarifa yako mimi ni mama mtu mzima nina mume na watoto na ndoa yangu ina miaka 20 sasa!!
Sijui umri wako, lakini nadhani nina umri mkubwa mno kuliko wewe, hivyo mimi nikupe pole wewe
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mkuu usichoke endelea .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unachochea moto
 
Sasa kama hauhukumu dhambi hayo madhara yake kijamii yanakuhusu nini?? Hivi unadhani watu wanatenda mema ili kuifurahisha Jamii unadhani kusingekuwa na Mungu watu wangetenda mema?? Pole aise yaani hapa tu watu wanajua Mungu yupo ila dunia imeharibika hivi sasa imagine asingekuwepo?? Who do you think gives a fvck about Jamii??
Sihukumu dhambi, naongelea matokeo na madhara yake kijamii, nimesema sana hili. Jaribu hoja mpya
 
Sihukumu dhambi, naongea na jamii yote kwa
ujumla. Wewe ndio kwa sehemu yako hutaki kuelewa. Unajua mfumo was maisha haupishani sana na mambo ya kiimani.

Hapo nilitaka tu uone kuwa mwanamke anahiari mwenyewe, anakataa kimoja anakubali kingine. Why
Hahahaha kwahiyo unadhani mwanamke ni malaika?? Kwamba yeye hapatwi na hamu ya kufanya mapenzi?? Yaani kwamba yeye hawezi kujaribiwa na shetani au wenzetu mnadhani shetani anawajaribu ninyi tu?? Kumbe basi ndiyo maana!!
 
Hizo unazosema ni exceptions mbona zipo nyingi sana?? Yaani unatulazimisha tuamini stories zako na siyo experiences zetu si ndiyo??
Exception cases zipo, mimi nimesema ni dalili. Hivyo dalili hizo zaweza kuwa tofauti pia lakini kwa ujumla wake iko hivyo toka mwanzo, hata kwenye biblia
 
"Acha uasherati sio sifa njema, tulia upate mke bora."

Unaonaje hiyo sentensi ungekuwa unaikazania na kwa wanaume wenzako kama unavyokazania maovu ya wanawake kila siku??
 
Yaani ukinijibu mimi unasema hauongelei dhambi ila ukiwajibu watu wengine unakuwa unaongelea dhambi sasa uzinzi kabla ya ndoa si dhambi??

Kama haukubali si maana yake unakemea dhambi sasa si uikemee hiyo dhambi kwa jinsia zote mbili maana inafanywa na jinsia zote mbili??
Kwa mawazo yako nani atakuelewa? Effeminate kwangu hakuna nafasi. Kimsingi huna hoja zenye mashiko zaidi ya kutaka nikubali kuwa uzinzi kabla ya ndoa ni sawa. Siko hivyo ndugu
 
Na kwanini awe na wengi kwanini jamii isiungane pamoja kumkanya mwanaume aache kuwa na wanawake wengi?? Unaona tatizo lilipo sasa??
Tatizo anakuwa na wengi. Inatakiwa aliyemtoa bikra, sio aliyempa mimba. Kuna tofauti kubwa hapo
 

Kaka una bachela ya Kiswahili nini ? Maana sio kwa minondo hiyo.
 
Mbona magonjwa nayo yanaua wote hayachagui maumbile??

Siyo sitaki ila huo ndiyo uhalisia acheni kuwa na akili za kushikiwa na mitazamo ya jamii fikirieni nje ya box!!
OK. Mwanamume anachungwa, umefurahi sasa? Haki sawa
 
1. Ndoa kudumu kama unavyojua wewe kwani haujui maana ya ndoa kudumu??

2. Ndiyo maana nikakwambia nipe andiko linalomruhusu mwanaume kuwa mkorofi kwa mkewe au mwanaume kumpiga mkewe!!
Andiko lipi? Itoshe kusema umepaswa KUTII, hilo ni andiko. Usipotii subiri huruma ya mumeo
 
Oya mmefikia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Umepotea sana kwa kutokuyajua maandiko na kujikita kwenye ubishi. Unadhani ukifanya ukahaba miaka nenda rudi halafu ukaokoka leo kuna magic button ya kukusafisha? Yaani jamii itaendelewa kukuona kahaba aliyetubu, ndia ni neema. Mungu hakuruhusu ufanye uchafu kwa sababu kuna nema, nope!!

Unajua kwa nini wanawake wanajaa kwenye makanisa ya maombezi? I am sorry to say this, lakini matatizo common ni mimba na mume. Ukweli unaochukiza.

Ngoja nikupe maandiko kidogo:

Mithali 30
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu.
¹⁹ Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.
²⁰ Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu
.
²¹ Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia.
²² Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula;
²³ Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake.


Umeelewaje ewe mwenye kuyajua maandiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…