Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Khaa masikini kumbe unadhani mimi ni mtoto ndiyo maana unanidharau?? Kwa taarifa yako mimi ni mama mtu mzima nina mume na watoto na ndoa yangu ina miaka 20 sasa!!
Basi nipe pole mimi, maana umeiva kwa ubishi hata pasipohitaji. Mawazo yako ni very negative.
 
Kwani jamii yote inaamini ktk Mungu. Are you trying to fight me? Naona umeenda nje kabisa ya mada. Nitajibu hoja zilizojikita kwennye mada tu. Sipo hapa kubishana bali kuelimishana
 
Hahahaha kwahiyo unadhani mwanamke ni malaika?? Kwamba yeye hapatwi na hamu ya kufanya mapenzi?? Yaani kwamba yeye hawezi kujaribiwa na shetani au wenzetu mnadhani shetani anawajaribu ninyi tu?? Kumbe basi ndiyo maana!!
Basi endeleeni kugawa vidude, nothing more
 
Kemea wewe
 
Na kwanini awe na wengi kwanini jamii isiungane pamoja kumkanya mwanaume aache kuwa na wanawake wengi?? Unaona tatizo lilipo sasa??
Mwsanamke anakuwa na wanaume wengi, usipotoshe nilichoandika
 
Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzi
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Lizarazu huna busara hata kidogo.
Tangu mada imeanza ulianza vizuri..naona umeona uingizie na matusi
.mbaya zaidi unamhusisha mzazi wa mtu.


Kaa utafakari tena.
Jambo ulilofanya si la kiungwana
 
Tayari najua so sidanganyiki. Nataka na vijana wengine wafungue macho.
Sasa utathibitishaei huyu mtu ni bikira bila tendo,na tendo mpaka ndoa? Maana kwa nje(uione kwa macho au uguse kwa kidole) ni bikira huko ndani ndiyo large au na wewe unafungua njia kabla ya ndoa?
Hapa hata wewe utadanganyika tu,huwezi kujua bikra fake mpaka uitoe!
 
Usisingizie malezi mabovu kwenye kila kitu wanawake wana tamaa ya kuolewa upesi kwa sababu ya mitazamo ya jamii za kiafrika kwamba mtoto wa kike akifika miaka 28 tu hafai kuolewa hata kama kajitunza eti ni 'mzee utamu wake umekwisha'

Sasa kwenye jamii zenye mitazamo hiyo unadhani wanawake hawatafanya juu chini kutafuta ndoa au unadhani wao wanapenda 'kunyooshewa vidole na jamii'?? Siku mkiacha hiyo mitazamo ya kijinga basi sidhani kama wanawake watakuwa wanajirahisisha kwa wanaume ili wapate ndoa tofauti na hapo endeleeni kupiga kelele na kupoteza muda mitandaoni!!
Malezi mabovu.
 
OK. Mwanamume anachungwa, umefurahi sasa? Haki sawa
Hivi unajua hata maana ya haki sawa?? Msisingizie haki sawa kwenye kila kitu vitu vingine ni nature tu inabidi vifanyike kwa jinsia zote mtake msitake sasa ninyi mnalazimisha utofauti wa mwanamke na mwanaume kwenye kila kitu wanawake na wanaume tunatofautiana kwenye jinsia, maumbile, majukumu na nafasi lakini kwenye malezi na dhambi hakuna tofauti bali mnailazimisha tu!!
 
Mimi single mother na ukweli ni kwamba mwanangu kwanza,kazi pili na mwanaume ni wa mwisho ktk fikra zng haya mtoa mada Lia vizuri na macho yakuvimbe kabisa
 
Na wewe itoshe kusema umepaswa kupenda, tofauti na hapo haustahili utii wa mkeo sasa sijui hata kama wanaume wa kiafrika mnajua maana ya Upendo.

Upendo huvumilia, husamehe, hustahimili na hauhesabu mabaya sasa jiulize ni wanaume wangapi wanafanya hayo kwa wake zao halafu ndiyo utapata jibu ni wanaume wangapi hawastahili utii kutoka kwa wake zao..
Andiko lipi? Itoshe kusema umepaswa KUTII, hilo ni andiko. Usipotii subiri huruma ya mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…