Basi nipe pole mimi, maana umeiva kwa ubishi hata pasipohitaji. Mawazo yako ni very negative.
[emoji8][emoji8]Dada zetu na mama zetu wanaishi maisha ya taabu sana kweli hili bara la giza. Huu ujinga wa kuwasemasema single moms lazima ukomeshwe.
Haha sasa mimi mwanamke nawezaje kumlala mama yangu??Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzi
Sasa ndiyo nimemaanisha ambao hawaamini katika Mungu unadhani wanajali hata wakifanya huo ukahaba?? Wao kwao kufanya ushetani si wanaona ni sawa tu utawaambia nini??Kwani jamii yote inaamini ktk Mungu. Are you trying to fight me? Naona umeenda nje kabisa ya mada. Nitajibu hoja zilizojikita kwennye mada tu. Sipo hapa kubishana bali kuelimishana
Kumfunza tution
Aligongewa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye mawazo negative ni mimi au wewe?? Wewe ni misogynist mkubwa yaani unachukia sana wanawake sijui walikufanya nini unaacha kuongea ukweli unaleta gender bias hapa!!
Basi endeleeni kugawa vidude, nothing more
Haki sawa
Kemea wewe
Mwsanamke anakuwa na wanaume wengi, usipotoshe nilichoandika
Hizi issue za single mother zinafikirisha sana.
By the way nilikuwa nawaonea huruma sana single mothers hadi nikafikiria kumrudia mzazi mwenzangu lakini nikagundua kuwa hata yeye hajiurumii ingawa anakaribia 35 sasa hivi maana mwanzoni alikataa kabisa ila sasa hivi ndio naona akili inamrudi baada ya kuona nimejenga na nimemchukua mwanangu na nina mpango wa kuoa.
Tuwaache wavune walichapanda tu kwa kweli maana moja ya sababu za wao kiwa single mother ni dharau wanazokuwa nazo baada ya kuzalishwa.
Going back to my wife - JamiiForums
Yes. Tuliishi wote zaidi ya miaka mitano na tukabahatika kupata mtoto mmoja lakini baadae tukaachana baada ya kutofautiana tabia. Imepita zaidi ya miaka mitatu tangu tumeachana lakini sasa nimeamua. I dont want wakuite single mother anymore. I am coming back to you my dear wife tumlee kidume...www.jamiiforums.com
Mungu akubariki sana Mkuu...!! Hakika wewe ni mfano bora wa vijana katika kuzuia suala la single mother lakino akiwa Jeuri mwache tuHizi issue za single mother zinafikirisha sana.
By the way nilikuwa nawaonea huruma sana single mothers hadi nikafikiria kumrudia mzazi mwenzangu lakini nikagundua kuwa hata yeye hajiurumii ingawa anakaribia 35 sasa hivi maana mwanzoni alikataa kabisa ila sasa hivi ndio naona akili inamrudi baada ya kuona nimejenga na nimemchukua mwanangu na nina mpango wa kuoa.
Tuwaache wavune walichapanda tu kwa kweli maana moja ya sababu za wao kiwa single mother ni dharau wanazokuwa nazo baada ya kuzalishwa
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Lizarazu huna busara hata kidogo.
Tangu mada imeanza ulianza vizuri..naona umeona uingizie na matusi
.mbaya zaidi unamhusisha mzazi wa mtu.
Kaa utafakari tena.
Jambo ulilofanya si la kiungwana
Huyo jamaa fwala tuu...Unakuta ni mgongaji na mrubuni mzuri wa vibinti vya watu alafu anakuja hapa kujidai anayajua maadili[emoji846][emoji846][emoji48][emoji48]Anazidi kutuonesha jinsi alivyo
yasingetokea kama mwanamke angetongozwa afu akatae
Itakuwa kweliAligongewa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maria na nyenyere hadi sasa kila mmoja ametuma Msg 800[emoji23][emoji23][emoji23] Mnaonaje sasa mlalee maana kesho mtaanza upya tena manachoka bure...[emoji23][emoji23]