Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Asante mkuu. Nilifikiri utakasirika.

Lugha hai ni tata mno; na matumizi yake mara nyingi hutegemea muktadha, mahali, mahusiano ya wazungumzaji na vigezo vingine vingi. Ndiyo maana mara nyingi tafsiri huwa zinapwaya sana.

Ukiwakuta masela wapo kijiweni wanaambiana "we msenge sana" kwako mpita njia unaweza kukunja uso na hata kusikitika. Lakini kwao, kulingana na mahusiano waliyonayo, mahali walipo na muktadha wa wakati huo, neno msenge hapa laweza hata lisiwe tusi kivile.

Nafurahi kuwa hili limeeleweka na mmeweza kuombana msamaha ilipobidi. Huo ndiyo ubinadamu na utu.

Blessings. Wabeja namhala.

Tombina bebe !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Umepaniki mbona? Naposema mambo ya kisayansi naamanisha mambo kama menopause. Hivi kijana kuoa mwansmke wa miaka 30 halafu make miaka mitatu ndipo ashike mimba ajifungue akiwa na miaka 34 unadhani mkiwa na watoto wanne mtawalea katika ujana wenu ama uzee?
 
Si unaumizwa na wanaume kuoa single mothers?? Lia sasa!!
Umechanganyikiwa na umeigeuza hii mada personal. Unaongea hovyo ila hujui tu. Nani kasema naumizwa. Huwezi kuwa critic mzuri kwa sababu inabadili maneno hovyo. Kuna jambo limekukwaza sana kwenye hii mada
 
Single mother is a sign of lack of self control, maturity, self acceptance etc. It is a bad signal kwa tabia ya mhusika
 
Single mother is a sign of lack of self control, maturity, self acceptance etc. It is a bad signal kwa tabia ya mhusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Komaa baba...Andika kitabu kabisaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Komaa baba...Andika kitabu kabisaa
Hujitambui nafasi yako. Ni hali ya kawaida kwa vijana wa kileo
 
Single mother ana watu wake wanaomfaa kumuoa, lakini kwa uhakika kabisa haifai hata kidogo kuolewa na mwanaume fresher wa ndoa ya kwanza. Post ya mwanzo kwenye thread hii inapaswa iseme inamzungumzia mwanaume mpya ambaye hajawahi kuoa wala hana mtoto, huyo kwa hakika atakuwa anajidhulumu sana kama ataoa single mother maana madhila yaliyotajwa yatamfika kwa uhakika unaokaribia 100%.

Vivyo hivyo si haki na haifai hata kidogo kwa mwanamke mpya (ambaye hajawahi kuolewa na asiye na mtoto) kuolewa ndoa na mwanaume mwenye mtoto, watoto, wanawake wengine, au hata mgane au aliyeachika. Hao wanatakiwa waoe wazoefu wenzao.
Ndoa tamu mkutane watu wapya, mfunzane ndoa kwa uzoefu mnaoendelea kupata kwenye ndoa yenu wenyewe. Hii mambo ya mtu kutumia uzoefu wa ndoa zilizopita au wenzi waliopita kupimia uzuri au ubaya wa mke/mume ndio matatizo makubwa.

Conclusion:
1. Muoaji wa ndoa ya kwanza ambaye huna mtoto kamwe usioe single mother, epuka hiyo kuliko ukoma
2. Msichana usiolewe na mwenye watoto
3. Wazoefu single mothers na single fathers oaneni, mnafaana sana.
 
Siwezi nikakasirika hata kidogo mkuu zaidi ya kukushukuru kwa kunipa elimu hii ya kimila.

Matumizi ya lahaja ni somo pana sana na ni endelevu.

Hawa wote waliozusha huu mjadala siwalaumu hata kidogo, maana kutokujua kwao sababu zinaeleweka kabisa.

Hapo mwisho sasa ulivyomaliza [emoji38][emoji38][emoji38]

Naheene vavaa!
 
Uache kututisha na kisukuma chako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora umebadilisha mada maana..watu wanatoana jasho bila sababu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.mwishowe kina Lizarazu wanaongea Hadi visukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora unebadilisha mada maana..watu wanatoana jasho bila sababu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.mwishowe kina Lizarazu wanaongea Hadi visukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekosea tu. Haikupaswa kuwekwa hapa. Sina tabia ya kuharibu nyuzi za watu. Sorry. Nshaiondoa...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Bora umebadilisha mada maana..watu wanatoana jasho bila sababu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.mwishowe kina Lizarazu wanaongea Hadi visukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mada mbona niko nashiriki mjada wake huko jukwaa la siasa tangu jana angalia my last post kabla ya hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…