Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ni kweli kabisa mi nimezalisha watatu na nshaachana nao
Na siku yoyote nkiamua natafuna yeyote
Umezaa na vipuuz wewe..au sijui ndo wanakutegemea so unatake advantage, zaa namm uone ka uyo mwanao ajakuitia mwizi njiani mkikutana, mimi ndo nalea mimi ndo najua nn cha kujaza kwenye ubongo wa mwanangu, na si unajua vile mtoto akikariri kitu hahahaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi napenda watu wakali..ila sio ukali Kama wa Lizarazu
Unavyonipiga chenga hapa Pèle hakufikii wallahi ....
7be7d3e3-4c3a-4fe3-92db-8a292d7b1a11.jpeg
 
Unavyonipiga chenga hapa Pèle hakufikii wallahi ....
View attachment 1206428
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hvi na kile kiswahili chenu Cha mkandamizo[emoji14][emoji14]mnabembelezeaga kilekile!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora Lizarazu kidogo lugha nyingine ya kwa Trump inapandapanda[emoji87][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo vijana mnajifanya wajuaji, kwa taarifa zako hayo yote uliyoyaandika ni too theoretical na hayana uhalisia wowote. Ndoa ni taasisi ambayo huwezi kuielewa kirahisi hata kidogo na linapofika suala la kuoa unaweza kujikuta yule uliyemdharau ndo anakuwa chaguo lako na mnaishi maisha mazuri. Single mother ni mwanamke sawa wanawake wengine na anaweza kuwa mke mwema kuliko hata hao unaowapigia debe. Vijana acheni kuishi kwa kukariri maisha ya ndoa hayako hivyo hata kidogo.
Basi sawa. Ila unaongea na mtu mzima na sio kijana
 
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hvi na kile kiswahili chenu Cha mkandamizo[emoji14][emoji14]mnabembelezeaga kilekile!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora Lizarazu kidogo lugha nyingine ya kwa Trump inapandapanda[emoji87][emoji1787][emoji1787]

Inaonekana umekufa kwa Kolo Boy huyo. Si kwa kumtag huko aisee. Ila ukikwama huko nipo ila tu mimi KiTrump hakipandi kabisa. Nilikazania zaidi kuchunga mang'ombe mashule sikwenda. Matokeo yake ndo haya leo nadharaulika hapa. Ila hakuna noma yote maisha tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
tapatalk_1568379937078.jpeg

#Njootulemaisha
#AchananaLizarazu

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
View attachment 1206446

#Njootulemaisha
#AchananaLizarazu

[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu atakufundisha..
Una ng'ombe wangapi kwanza!!?
Nyumbani kwetu utaleta wangapi!???
Inatakiwa ujipange...Maana wamenilea nikaleeka mtoto[emoji3526][emoji3526][emoji847]
 
Hapana. Mnakuja kuchukua nyie tukishaelewana bei na wazee wako. We nikubalie tu. Masuala yote ya kiitifaki za kimila nitayashughulikia...

Lizarazu yuko wapi? Nakaribia kupindua serikali huku ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Lizarazu atakuwa mshenga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sisi Mila zetu mwanaume ndiye analeta mahari nyumbani...Wala SI wazazi wanaofwata.
 
Lizarazu atakuwa mshenga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sisi Mila zetu mwanaume ndiye analeta mahari nyumbani...Wala SI wazazi wanaofwata.
Kabila gani hilo?

Lizarazu awe mshenga wangu. Thubutuuu... Atakuja kunipindua tu na utombina tombina wake [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kwa hiyo umenikubalia ama?
 
Kabila gani hilo?

Lizarazu awe mshenga wangu. Thubutuuu... Atakuja kunipindua tu na utombina tombina wake [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kwa hiyo umenikubalia ama?
Kabila moja lipo greencity huku[emoji7][emoji7][emoji7].
Lizarazu hawezi kukupindua...Ni Kaka yangu huyo[emoji3526][emoji3526].
Na utombina wake[emoji2960]
Ila jipange tu vizuri Maana wazazi macho yote yapo kwangu[emoji847][emoji847][emoji847][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Watani zetu nyie halafu. Halafu mna kitu fulani hivi nikipendacho sana (angalia link hapa chini). This is excellent [emoji122][emoji122][emoji16]

Kuhusu kujipanga usiwe na shaka. Niko vizuri sana. Wazazi kamwe hawatakuwa disapointedi [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna uwezekano huo kwa asilimia nyingi tu japo sio kwa asilimia zote.
Mna vithibitisho gani vinavyoonyesha TL alishambuliwa na tiss?
mazingira ya tukio zima na mwenendo mzima wa ufuatilaji wa tukio hilo mpaka leo hivi tunavyoandika ni ushaidi tosha kabisa kuwa serikali ina mkono wake kwenye shambulio la Lissu sasa hatujui ni watu gani iliyowatumia Lakin kwa fikra za haraka haraka tu ilitumia vyombo vyake vya ulinzi/usalama kama hao TISS.

Wewe unahisi ni akina nani wakiohusika na shambulio lile?
 
Watani zetu nyie halafu. Halafu mna kitu fulani hivi nikipendacho sana (angalia link hapa chini). This is excellent [emoji122][emoji122][emoji16]

Kuhusu kujipanga usiwe na shaka. Niko vizuri sana. Wazazi kamwe hawatakuwa disapointedi [emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi sio wa Hilo kabila lenye hivyo vitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom