Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hili hata mimi huwa nalikataa. Afisa wa TISS aliyefunzwa kuua kwa njia mbalimbali hawezi kumimina risasi zote hizo halafu ashindwe kuua. Naamini hii ni kazi ya amateurs tu wa kuokotwa huko mitaani na inaweza hata ikawa ni migongano ya kibinafsi tu, visasi na hata kiki na kujiongezea mitaji ya kisiasa.

Kama kweli ni mambo ya TISS hii basi tutakuwa na TISS ya hovyo kabisa na maafisa wake inabidi warudi mafunzoni upya. Kama hawawezi kuua mtu seating duck mchana kweupe asiye na silaha afadhali tu waache kazi waje huku Kolomije tulime mpunga [emoji16][emoji16]
Bebeshi nang'oo!! Yaani kweli amateurish assassins wawe na uwezo wa kuingia kwenye highly secured areas with a lot of cctv cameras kama lile kisha wafanye shambulio kwa kujiamini kiasi kiasi kile pasipo kuhofia kitu chochote?

Mkuu kitendo cha Lisu kusurvive pale zile ni kudra tu za Almighty one na sio uzembe wa wale wapigaji
 
Kuna uwezekano huo kwa asilimia nyingi tu japo sio kwa asilimia zote.mazingira ya tukio zima na mwenendo mzima wa ufuatilaji wa tukio hilo mpaka leo hivi tunavyoandika ni ushaidi tosha kabisa kuwa serikali ina mkono wake kwenye shambulio la Lissu sasa hatujui ni watu gani iliyowatumia Lakin kwa fikra za haraka haraka tu ilitumia vyombo vyake vya ulinzi/usalama kama hao TISS.

Wewe unahisi ni akina nani wakiohusika na shambulio lile?
Waliohusika hawajajulikana bado jeshi la polisi linafanya uchunguzi.
Basi nyie inaonesha mnajua waliomteka mkaisaidie polisi.
 
Bebeshi nang'oo!! Yaani kweli amateurish assassins wawe na uwezo wa kuingia kwenye highly secured areas with a lot of cctv cameras kama lile kisha wafanye shambulio kwa kujiamini kiasi kiasi kile pasipo kuhofia kitu chochote?

Mkuu kitendo cha Lisu kusurvive pale zile ni kudra tu za Almighty one na sio uzembe wa wale wapigaji
Kuingia kwa ujasiri sehemu yenye cctv camera haimaanishi Ni tiss..
Lete evidence Basi Lizarazu.
Kama huna evidence Basi hizi Ni porojo Kama porojo nyingine
 
Uneona eeh...
Kwanza JPM mimi naona Kama wanamuonea...Hadi Sasa sijaona mpinzani wa kunkosesha usingizi Hadi afikie hatua ya kumuua...
Watakuwa wamejikanganya wenyewe huko wao kwa wao halafu wanakuja kusingizia tiss.
Lizarazu
Kwamba unasemaje!?

Hakuna wakumnyima usingizi nani eti?

Kama asingekuwepo kweli wa kumyima usingizi tusingeona hizi kesi za kipuuzi puuzi wanazopewa akina Mbowe na Zito kila leo, tusingeona mikutano ya kisiasa ikipigwa marufuku paia vile vile tusingeona political assassination attempt kwa mtu ambaye ndio kinara wa ukosoaji.

Wanaomnyima usingizi Magu wapo wengi sana aruhusu tu political fair ground ujionee.
 
Hapa kwenye upole mmejisingizia[emoji14][emoji14][emoji14]
Hii sifa sio yenu...
Eti Lizarazu nyie Ni wapole!???
Hapana. Wanaume wa Kisukuma hatujulikani kwa ubabe labda ungesema ushamba (japo napo kuna utata). Sisi tunajulikana pia kwa upendo, kujali familia, uchapa kazi na upole. Na kwenye mapenzi tuko vizuri sana. Hata Kolo boy wako huyu naamini ni swaga za mtandaoni tu lakini in real life usishangae kumkuta ni mpole, humble na mwanaume bora kabisa. Usituogope [emoji1545][emoji1545]
Bora ujisemee wewe[emoji3][emoji3]
Japo sijawahi ona msukuma mpole...ila kwa uchapakazi nawapa heko[emoji122] mkiongozwa na jembe lenu toka chattle[emoji14][emoji14] anko magu

Lizarazu
Sasa siuje kwangu uhakikishe kuwa wanaume wa Kisukuma wapole wapo? Unakwama wapi sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi napenda watu wakali..ila sio ukali Kama wa Lizarazu
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hvi na kile kiswahili chenu Cha mkandamizo[emoji14][emoji14]mnabembelezeaga kilekile!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora Lizarazu kidogo lugha nyingine ya kwa Trump inapandapanda[emoji87][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana umekufa kwa Kolo Boy huyo. Si kwa kumtag huko aisee. Ila ukikwama huko nipo ila tu mimi KiTrump hakipandi kabisa. Nilikazania zaidi kuchunga mang'ombe mashule sikwenda. Matokeo yake ndo haya leo nadharaulika hapa. Ila hakuna noma yote maisha tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1206446

#Njootulemaisha
#AchananaLizarazu

[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu atakufundisha..
Una ng'ombe wangapi kwanza!!?
Nyumbani kwetu utaleta wangapi!???
Inatakiwa ujipange...Maana wamenilea nikaleeka mtoto[emoji3526][emoji3526][emoji847]
Hapana. Mnakuja kuchukua nyie tukishaelewana bei na wazee wako. We nikubalie tu. Masuala yote ya kiitifaki za kimila nitayashughulikia...

Lizarazu yuko wapi? Nakaribia kupindua serikali huku ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Lizarazu atakuwa mshenga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sisi Mila zetu mwanaume ndiye analeta mahari nyumbani...Wala SI wazazi wanaofwata.
Kabila gani hilo?

Lizarazu awe mshenga wangu. Thubutuuu... Atakuja kunipindua tu na utombina tombina wake [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kwa hiyo umenikubalia ama?
Watani zetu nyie halafu. Halafu mna kitu fulani hivi nikipendacho sana (angalia link hapa chini). This is excellent [emoji122][emoji122][emoji16]

Kuhusu kujipanga usiwe na shaka. Niko vizuri sana. Wazazi kamwe hawatakuwa disapointedi [emoji16][emoji16][emoji16]

Aisee!! Mmenifurahisha sana nyie watu. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwamba unasemaje!?

Hakuna wakumnyima usingizi nani eti?

Kama asingekuwepo kweli wa kumyima usingizi tusingeona hizi kesi za kipuuzi puuzi wanazopewa akina Mbowe na Zito kila leo, tusingeona mikutano ya kisiasa ikipigwa marufuku paia vile vile tusingeona political assassination attempt kwa mtu ambaye ndio kinara wa ukosoaji.

Wanaomnyima usingizi Magu wapo wengi sana aruhusu tu political fair ground ujionee.
Wanapata kesi kwa sababu ya utovu wa Nidhamu..ukivunja sheria lazima uwajibishwe.

Hana mpinzani ndio ..Hadi Sasa sijaona mbadala wake.
 
Tuuacheni huu uzi sasa urudi kwenye mada yake ya usingo maza. Tumeshauharibu vya kutosha. Bila shaka mwenyewe aliko kafura balaa. Ila kuanzia sasa Saint anne jua madarubini yangu makali kutokea huku Gamboshi yanakumulika kwa mwanga mkali sana Hubble Telescope cha mtoto. Ukijichanganya tu utajikuta uko Koromije ukipapalilia majaruba ya mpunga. Asante kwa matani rafiki. Lizarazu yeye nitagongana naye kwingine huko sema tu akianzaga makiingereza yake magumu mi nakimbiaga. Blessings to you all...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Lizarazu upunguze makiingereza yako magumu[emoji12]
Sawa makolo boy[emoji3][emoji3]

Mwenye Uzi tumempunguzia mzigo wa mabishano...Maana wamebishana humu ndani Hadi wakatia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawachoki aisee[emoji1373][emoji1373]kile Ni kipaji nacho
 
Sijajibiwa hapa --- kuna wanawake kibao wamekataa na tunayoyaoongelea hapa hayajatokea,nini chanzo cha hayo yote kutokutokea?

Once a baharia always a baharia
Wewe mbona maswali yangu haujayajibu kwanza?? Ungeanza kunijibu kwanza swali langu ningekuona wa maana!!
 
Kwani hakuna watu wanaozaa wakiwa na umri huo na wanalea watoto wao vizuri??

Yaani wewe siyo mbishi tu bali pia ni mgumu kuelewa kama huyo mwenzio hapo!!
Umepaniki mbona? Naposema mambo ya kisayansi naamanisha mambo kama menopause. Hivi kijana kuoa mwansmke wa miaka 30 halafu make miaka mitatu ndipo ashike mimba ajifungue akiwa na miaka 34 unadhani mkiwa na watoto wanne mtawalea katika ujana wenu ama uzee?
 
Hahahaha sasa kati ya mimi na wewe nani anageuza mada na kuchukulia vitu personal??

Kwanza kabisa wewe ndiyo umegeuza hoja zangu ziwe unavyotaka wewe halafu inaonekana una vitu personal na wanawake!!
Umechanganyikiwa na umeigeuza hii mada personal. Unaongea hovyo ila hujui tu. Nani kasema naumizwa. Huwezi kuwa critic mzuri kwa sababu inabadili maneno hovyo. Kuna jambo limekukwaza sana kwenye hii mada
 
Kichwani umejaza matangopori
Hivi kuna mwanaume anayeweza kumpenda mke wake unconditional love yaani upendo usio na masharti yoyote??

Kumbuka nimekwambia sifa za upendo ni husamehe, huvumilia, hustahimili na hauhesabu mabaya sasa je ni wanaume wangapi hasa wa kiafrika wana huo upendo kwa wanawake wao??
 
Back
Top Bottom